Tuishi kwanza..harusi itafuata baadae!

maisha hayaendeshwi kwa ndodo mpendwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mkuu Himidini labda unifafanulie harusi unayomaanisha hapa ni ipi??? ni sherehe ? au ni kile kiapo kanisani au msikitini. ndoa ni kanisani/msikitini au kwa wale wanaoenda wilayani hizo nyingine ni MBWEMBWE tu!

^^
neggirl
Nadhani ndoa ni uhusiano uliohalalishwa kisheria baina ya watu wawili wa jinsia mbili tofauti.Uhalali huu unaweza kufanywa kidini,kitamaduni au kiserikali.
Harusi ninayoiongelea hapa ni tafrija inayofuatia baada ya kuhalalishwa.
Mf..kama wawili wapendanao wataamua kuishi pamoja bila kuhalalisha uhusiano wao hapa ndipo mjadala wangu nilipenda uwe.
Kama kumbukumbu yangu haijapotea,,sheria za mahakama ya mwanzo zinaeleza kuwa,,watu wawili wa jinsia tofauti walioamua kuishi pamoja,,wakifikisha miezi nane kwa kuridhiana inatosha kuwa wanandoa.
Je, neggirl upo tayari kujisadaka hata mwaka tu,ili uhalali uwepo ukiambatana na harusi?
^^
 
Last edited by a moderator:

Himidini ... sasa nimekuelewa. hapana kwa kwa kweli, hakuna msaada hakuna huruma... niishi miaka miwili na wewe under one roof, one bed without any serious committment BIG NOoo...... mimi ni wa thamani, n sitakuwa tayari kupoteza muda wangu tu pasipo kujua kesho yangu itakuwaje.
 
Last edited by a moderator:

Well said mdada......! Like
 
Last edited by a moderator:
maisha hayaendeshwi kwa ndodo mpendwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

^^
Howt Lady
sijui kwa sababu bado naishi kijijini au tatizo la uelewa! Naomba unifafanulie maana ya ndodo.
^^
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…