HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Imagine kama ni ww umeishi na kijana kama 6month hivi halafu mnashindwana tabia, jamii itakuchukuliaje? baada ya hapo unatafuta mwingine ambae mtaoana hapo baadae nae unaishi nae miezi mitano mnasomana tabia kisha unagundua hafai. Unatafuta mwingine tena inakuwa mwendelezo..........endless.
kwa maisha ya vijana na mabinti wa sasa ni muhimu kuishi kwanza kabla ya ndoa maana ndoa za sasa utata mtupu!
Kwa upande fulani inasaidia kupimana; kiasi kwamba mambo yasipokuwa mazuri mnaweza kuachana bila kuwa na kiwingu kile cha "until death do you apart".
Tukirudi upande mwingine, ndoa/harusi ni nini zaidi ya mkataba? So Mkataba unakupa uhalali, unakupa insurance na mengine ingawa sio lazima upendo wa kweli. So kwa mdada, kupata uhalali basi ndoa ni muhimu; lakini je mkaka yeye hahitaji huo uhalali?
Mkuu Himidini, niseme mtazamo wangu hapa...
Mimi nahis kupimana/kuishi pamoja bila ndoa, generally ni kitu kibaya, ie eti unakaa na mtu mwaka/miaka huku ukimtumia afu eti unasema huwezi kumuowa coz umegundua anatabia mbaya as well as mlikua mkipimana, sasa hayo ndio majibu! Umeshaula utamu wake wote, umeshamueka limvungu mtoto wa watu, umeshamfanya hata akitingisha mashine watu hawaangalii mara mbili, nk.
Ubora wa kuishi bila ndoa unakuja kwa Wanaume wa kikristo tu! Coz kwao ndoa ndoana, Uislamu hakuna hii, unamuona leo, kesho unaoa, keshokutwa kazingua, unampa talaka, kwao! Hivyo basi mm nahis iyo kupimana iwe reasonable, izingatie mda na kuwe na limit za kumtumia mwenzio, ili ukigundua hakufai aweze kuwafaa wengine. Mkumbuke ktk kupimana kwenu hakuna aliyekamilika...!
Nawakilisha.
^^
charminglady
Kwa maneno rahisi tu unaona waliopitia harusi kabla ya ndoa rasmi,,wanaishi bila nyumba ndogo?
^^
^^
Mashaxizo
Nimekupata vema Mkuu,,hilo suala la muda maalum n.k
Vipi kwa wale ambao wanapendana ila mwanaume hana uwezo kifedha,je binti awe tayari kupoteza pendo la kweli kwa sherehe tu!
^^
^^
Naomba tujadiliane kwa mabinti ambao wamekutana na wanaume ambao hawako tayari kwa harusi au kuhalalisha ndoa.
Anakupenda sana lakini kwa sababu ambazo pengine ni za msingi au la! Hayuko tayari kwa harusi,,ndoto ambayo umeiota tangu utoto.
Lakini anakuambia "...tuishi kwanza,,harusi itafuata baadae"
Je,unamwelewa vipi mwanaume wa aina hiyo?
^^
Kupoteza pendo la kweli kwa sherehe tu, sio sahihi.
Kumbuka "in case of necessity haram inakuwa halali"
kwa mtizamo wangu ikiwa kweli wanataka kuoana, hakuna hela ya sherehe, huyo m/mke si atulie kwao kwanza, ili jamaa azichange, pia jamaa kama anapenda kweli ataingiwa na hamu ya kutekeleza hilo, wakiishi pamoja jamaa atapungua nguvu za kutaka ndoa kutokana na kuwa interest zake anapata, then wakiwa pamoja matumizi huzidi na kutotimia kwa hiyo hela ya arusi kwa sababu jamaa si kipato chake kidogo! Usiniambie m/ke akitulia kwao hakutokua na mapenzi. Hiyo rule ya juu (in c....) itatumika endapo m/ke anaishi mazingira magumu/hatarishi huko kwao.
Si unalionaje hili Mr. Himidini!
Kiimani hairuhusiwi kuishi kwanza halafu ndoa baadae na pengine hata kwa jamii unayoishi inaweza ikawa haikubaliani na uamuzi wa kuishi bila ndoa. Lkn nimeshuhudia ndoa kadhaa baada ya kufungwa maisha yanakua ndivyo sivyo yaani wanakua hawafanani kabisaa utadhani walilazimishwa kuoana. Mpaka wakati mwingine unatamani bora wangeishi kwanza halafu ndoa ingefuata baadae na hasa ukizingatia ndoa zetu hakuna kuachana . Nionavyo mimi kila uamuzi unaochukuliwa na wahusika una risk . Sasa sina jibu moja kama je ni sawa kuisi kwanza bila ndoa kwa sababu yoyote au kufunga ndoa kwanza ijapokua moyoni mwangu ningependa ndoa ianze na si kuishi kiuchumba. Tukumbuke kadiri tunavyokua pamoja ndipo tunapojuana zaidi mpaka vile vitabia vya ndani kabisa, sasa huenda ulimpenda sana mhusika lkn waweza katishwa tamaa na vitabia hivyo so unaamua kutofunga nae ndoa wakati tayari mlishaishi pamoja. Kumbe mgefunga ndoa kabla ya kuishi wote hivyo vitabia usingevijali. Choice zote mbili zinategemea uamuzi wa walengwa na zote zaweza kuwafaa au kuwaangusha.^^
But lara 1 cheti cha ndoa hakikupi guarantee ya ndoa yenye furaha..i.e umemkataa mnae-match nae kwa kigezo cha kukunyima harusi tu.
Huoni kuwa wapo waliofanyiwa harusi za gharama lakini bado wanasota?
Cc. Heaven on earth Ablessed @FP @Cynithia Chriss
^^
^^
Naomba tujadiliane kwa mabinti ambao wamekutana na wanaume ambao hawako tayari kwa harusi au kuhalalisha ndoa.
Anakupenda sana lakini kwa sababu ambazo pengine ni za msingi au la! Hayuko tayari kwa harusi,,ndoto ambayo umeiota tangu utoto.
Lakini anakuambia "...tuishi kwanza,,harusi itafuata baadae"
Je,unamwelewa vipi mwanaume wa aina hiyo?
^^
Kwa upande fulani inasaidia kupimana; kiasi kwamba mambo yasipokuwa mazuri mnaweza kuachana bila kuwa na kiwingu kile cha "until death do you apart".
Tukirudi upande mwingine, ndoa/harusi ni nini zaidi ya mkataba? So Mkataba unakupa uhalali, unakupa insurance na mengine ingawa sio lazima upendo wa kweli. So kwa mdada, kupata uhalali basi ndoa ni muhimu; lakini je mkaka yeye hahitaji huo uhalali?
Hapo uliposema ku rist nadhani ndio penyewe zaidi maana mtu anaweza ishi vizuri na mtu kabla ya ndoa kwa muda mrefu, wakaja wakaoana na wakaishi vizuri siku za mwanzo ila hali ikabadilika tena baadae, maana kuna vitu vingi vinaweza changia watu kubadilika, mf kipato, elimu, exposure, hata jamii inamzunguka mtu nk so kwa pande zote kuishi na mtu kabla ya ndoa au kutokuishi lolote laweza tokea baadae. Pia ni muhimu kujua kuwa ndoa sio paradiso muda wote ndio maana wengine wakibatiza kuwa ni umoja wa mataifa, ndio maana kwa kanisani unakula kiapo kuwa upo tayari kwa shida na raha, tena kabla ya kiapo mara nyingi watu wanaulizwa kama wamekuwa wakomavu kiakili na wana akili timamum maana wafungishaji wanajua kabisa hawa wanapokwenda kuna hasa na chanya, ila yote kwa yote wengi tunashangaa ndoa za sasahivi tunasahau kushangaa maisha ya sasahivi kabla ya ndoa, maana kwenye ndoa mara nyngi huonyesha matokeo ya maisha kabla ya ndoa, maana kuna tabia ni ngumu kuzianza baada ya ndoa, kama umalaya, uchoyo, ubinafsi nkKiimani hairuhusiwi kuishi kwanza halafu ndoa baadae na pengine hata kwa jamii unayoishi inaweza ikawa haikubaliani na uamuzi wa kuishi bila ndoa. Lkn nimeshuhudia ndoa kadhaa baada ya kufungwa maisha yanakua ndivyo sivyo yaani wanakua hawafanani kabisaa utadhani walilazimishwa kuoana. Mpaka wakati mwingine unatamani bora wangeishi kwanza halafu ndoa ingefuata baadae na hasa ukizingatia ndoa zetu hakuna kuachana . Nionavyo mimi kila uamuzi unaochukuliwa na wahusika una risk . Sasa sina jibu moja kama je ni sawa kuisi kwanza bila ndoa kwa sababu yoyote au kufunga ndoa kwanza ijapokua moyoni mwangu ningependa ndoa ianze na si kuishi kiuchumba. Tukumbuke kadiri tunavyokua pamoja ndipo tunapojuana zaidi mpaka vile vitabia vya ndani kabisa, sasa huenda ulimpenda sana mhusika lkn waweza katishwa tamaa na vitabia hivyo so unaamua kutofunga nae ndoa wakati tayari mlishaishi pamoja. Kumbe mgefunga ndoa kabla ya kuishi wote hivyo vitabia usingevijali. Choice zote mbili zinategemea uamuzi wa walengwa na zote zaweza kuwafaa au kuwaangusha.