wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,764
- 2,203
Wachezaji wetu tatizo Jani. Wanavuta sana ile kitu. Pili, lugha haipandi. Ung'eng'e kwao ni mama mkwe. Kocha afanyaje? Afundishe kizaramo!
Maximo alikuwa anajua kiswahili acha kumtetea huyo kocha ni poyoyo