Tuhuma zangu kwa Lema

Tuhuma zangu kwa Lema

Wewe kakado kweli ni mbulula sana, yani mbali na hadithi yako ya kufikirika kama shaban Robert lakin umeshindwa kutumia akili, Sasa wewe ulitaka kwenye uchaguzi wa igunga ulale lodge? Hata mimi ni mwanafunzi kama wewe lakini tulikuwepo pale igunga kule nsimbo rolansimba na nkinga lakin hatukuuliza lodge wala nini na tulikuwa tunalala pamoja na wakina sugu mahali pamoja pasipo wao kulala huko unapopasema alafu we unaleta uzushi wa kijuha.
 
Kwanza niwasalimu wadau wa jamii forum,

Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu,na kukemea mabaya yanayofanywa na viongozi.

Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana wa ARUSHA.

LEMA ni mtu anayetamka sana neo HAKI ZA BINADAMU pale zinapo vunjwa kamaana nyingine ni mpigania haki za binadamu pale zinapo vunjwa lakini na yeye ni mmoja wa viongozi anaye vunja haki za binadamu. LEMA ndio chanzo cha familia za waliopoteza maisha january 5/ 2011 kishi maisha magumu, aliahidi kuitunza familia zile lakini paka na kesho hakuna wanachokipa familia ile watoto wanakosa mahitaji muhimu pesa zinachangishwa laini haziwafikii walengwa lema ndio anayesimamia ukusanywaji na zina ishilia kwake huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, tulipe kisogo ilo tuendelee kuangalia upana kiuka haki za binadamu mwaka 2011 kulikuwa na uchaguzi mdogo igunga waliitajika vijana kadhaa kutoka ARUSHA kwa ajili ya uwakala, mdogo wake Lema(Nelson) alinipigia simu nakuniomba tunde pamoja igunga nilikuwa na ratiba yakujiandaa kurudi chuoni kuendelea na masomo kwani ndo tulikuwa tunafungua chuo(udsm).

Nelson aliniomba sana nivute siku 4 twende tabora sikuwa na shaka kwani siku izo 4 zilikuwa niza usajini ckuwa nashaka nikakubali nikiamini tutakuwa pamoja na Nelson (mdogo wa mbunge) ilikuwa siku ya ijumaa tulikutana offisini kwa mbunge nilitambulishwa pale kwa mke wa mbunge as a student and friend of Nelson (mdogo wa mbunge) Nelson na yeye alikuwa anajiandaa kwenda kuanza chuo kw hiyo wote tulikuwa student lakini kutokana na damu ya upendo kwa watanzania wenzetu tuliona ni bora tukaakikishe wanapata uongozi imara tukawasaidie.

Pale tulipo simu ya mke wa mbunge ikaita niliamini ni mbunge (LEMA) baada yakumaliza kuongea alikata simu alimwamuru Nelson kutokwenda Igunga kwani anajiandaa kwenda chuoni na kule kuna vurugu anaweza kuumia lakini mimi alikuwa akinishawishi niende hapata kuwa na shida kwani ataniunganisha na mbunge alinishawishi sana sikuwa na njia nyingine tukaanza safari tulitumia njoku express tulianza safari saa 12 jion nakumbuka tulifika saa 11asubuhi,tulipokelewa na kiporo cha wali,walituahidi kula vizuri na kulala vizuri lakini hakuna kilichofanyika tulilala kwenye magari wao walila lorge sisi tupo njee kiukweli haki za binadamu lema alizikiuka pale hakuna aliyopenda iyo hali miongoni mwetu kauli waiokuwa wanatupa etii sisi NI MAKAMANDA tuvumilie ukombozi unakuja hatukupenda ata kidogo.

Siku moja saa 8usiku lema aliwasha GARI akatuchukua watu wanane tukaenda umbali wa kama km 20 kutoka pale lodge tulifika sehemu kituo cha kupigia kura sio shule bali ni sehemu tu iliandaliwa maalumu kwa kazi hiyo,kumbuka hakuna umeme maji wala ulinzi wowote lema akasema tulale pale ccm wasije kuleta kura zao alafu yeye arudi lodge kiuanisia apo alikiuka haki za binadamu hakuna aliye kubaliana nae tukarudi wote lakini alikasirika kwa kuto msikliza tulirudi camp, wakati nipo camp nilipata hali ya kuumwa nikampigia simu Nelson (mdogo wa mbunge) ambaye yupo arusha nikamweleza hali yangu ya Afya.

Aakaniambie ngoja awasiliane na kaka (mbunge) aweze kunisaidia akawasiliana na kaka yake (Lema) then akanipigia akaniambie nimfate tuongee nilimfata lakini lema aligoma kabisa kuongea na mimi na kudai amepokea simu kutoka kwa nelson lakini yupo bize nimtafute badae badae kumtafuta hakutaka kunipa nafasi na uku anajua hali yangu ni mbaya kama alivyo elezwa na mdogo wake .

sasa shule ulishamaliza mbona unaandika kama ndio umetoka darasa la kwanza,hivi nyie ndiyo mnategemewa na taifa eti wasomi,tutatokaje hapa?
 
hili ndio tatizo la cdm hasa member wake humu jf.wote walio jibu hakuna hata mmoja mwenye positive mind au tu wa kusema kwa kauli za kiungwana .tatizo nn wana jf tuwe magt hapo kuna upuuz ila pia kuna la kuangalia
List yenu ni Mbowe Slaa,Lema na Nasari masalia aka matunguri ukienda Polisi uniambie nikakuwekee dhamana
 
Hivi nyie wahuni hamkati tamaa tu ya kushindana na ukuta! Ulifungwa kamba kwenda igunga? Kwani Lema haukuwepo igunga? Toa ujinga wako hapa!
 
umeona hata hicho kiswahili alichoandika? Ni utumbo mtupu

Kweli nimeona mkuu kwenye uandishi wa kiswahili siyo mzuri, mwanzoni nilisoma kichwa cha uzi wake tu na baadaye kuanza kupitia majibu ya 'members'; sikuipitia post yake ya kwanza. Sasa nilipoipitia ndiyo nimegundua ulichonijulisha. Sasa wakati naipitia nilipofika kwenye hayo maneno niyopaka rangi ya bluu hapo chini ndiyo hasa nikagundua hasira za muanzisha uzi. Kuna uwezekano mkubwa KAKADO alikuwa anamsumbua sana Mh. Lema kwa njia ya simu kwa 'vibomu' visivyoisha.

Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana w..
 
List yenu ni Mbowe Slaa,Lema na Nasari masalia aka matunguri ukienda Polisi uniambie nikakuwekee dhamana

Kwani huyu ndiyo alie kwapua simu, hakimu nasikia J3 atafuta mdhamana atakoma...hahah
 
kama kweli upo chuo kikuu kama unavyodai kwa sababu mimi siamini kama upo chuo basi elimu yetu kwishnei kwa sababu mtu aliyefika chuo kikuu asingeandika madudu kama ulivyofanya wewe hata kama kiswahili inasumbua namna gani hoja ya mh.lowassa inazidi kupata nguvu kuwa tuangalie mfumo wa elimu yetu inayotolewa kwa sababu inaangalia quantity rather than the quality of it pia uchaguzi wa igunga ilikwisha siku nyingi mbona umepiga kimya muda wote huo kazi tunayowatanzania kama hawa ndio wanaojiita wasomi wetu.
 
that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent
Certainly, you are not an English speaker! Why can't you opt for your mother tongue!
 
Lema anakabiliwa na kesi ya kubaka UK
Nasikia Lukosi kahojiwa na polisi UK na kaamua kumwanga mboga
 
Nimewasoma but pray for our nation and Askari wetu kuvunja kila roho za tamaa na uzembe
 
Mfuate umweleze mwenyewe kwani jf sio sehemu ya udaku.ZUZU wewe.Simple minds discuss people great minds discuss ideas.
Kwanza niwasalimu wadau wa jamii forum,

Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu,na kukemea mabaya yanayofanywa na viongozi.

Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana wa ARUSHA.

LEMA ni mtu anayetamka sana neo HAKI ZA BINADAMU pale zinapo vunjwa kamaana nyingine ni mpigania haki za binadamu pale zinapo vunjwa lakini na yeye ni mmoja wa viongozi anaye vunja haki za binadamu. LEMA ndio chanzo cha familia za waliopoteza maisha january 5/ 2011 kishi maisha magumu, aliahidi kuitunza familia zile lakini paka na kesho hakuna wanachokipa familia ile watoto wanakosa mahitaji muhimu pesa zinachangishwa laini haziwafikii walengwa lema ndio anayesimamia ukusanywaji na zina ishilia kwake huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, tulipe kisogo ilo tuendelee kuangalia upana kiuka haki za binadamu mwaka 2011 kulikuwa na uchaguzi mdogo igunga waliitajika vijana kadhaa kutoka ARUSHA kwa ajili ya uwakala, mdogo wake Lema(Nelson) alinipigia simu nakuniomba tunde pamoja igunga nilikuwa na ratiba yakujiandaa kurudi chuoni kuendelea na masomo kwani ndo tulikuwa tunafungua chuo(udsm).

Nelson aliniomba sana nivute siku 4 twende tabora sikuwa na shaka kwani siku izo 4 zilikuwa niza usajini ckuwa nashaka nikakubali nikiamini tutakuwa pamoja na Nelson (mdogo wa mbunge) ilikuwa siku ya ijumaa tulikutana offisini kwa mbunge nilitambulishwa pale kwa mke wa mbunge as a student and friend of Nelson (mdogo wa mbunge) Nelson na yeye alikuwa anajiandaa kwenda kuanza chuo kw hiyo wote tulikuwa student lakini kutokana na damu ya upendo kwa watanzania wenzetu tuliona ni bora tukaakikishe wanapata uongozi imara tukawasaidie.

Pale tulipo simu ya mke wa mbunge ikaita niliamini ni mbunge (LEMA) baada yakumaliza kuongea alikata simu alimwamuru Nelson kutokwenda Igunga kwani anajiandaa kwenda chuoni na kule kuna vurugu anaweza kuumia lakini mimi alikuwa akinishawishi niende hapata kuwa na shida kwani ataniunganisha na mbunge alinishawishi sana sikuwa na njia nyingine tukaanza safari tulitumia njoku express tulianza safari saa 12 jion nakumbuka tulifika saa 11asubuhi,tulipokelewa na kiporo cha wali,walituahidi kula vizuri na kulala vizuri lakini hakuna kilichofanyika tulilala kwenye magari wao walila lorge sisi tupo njee kiukweli haki za binadamu lema alizikiuka pale hakuna aliyopenda iyo hali miongoni mwetu kauli waiokuwa wanatupa etii sisi NI MAKAMANDA tuvumilie ukombozi unakuja hatukupenda ata kidogo.

Siku moja saa 8usiku lema aliwasha GARI akatuchukua watu wanane tukaenda umbali wa kama km 20 kutoka pale lodge tulifika sehemu kituo cha kupigia kura sio shule bali ni sehemu tu iliandaliwa maalumu kwa kazi hiyo,kumbuka hakuna umeme maji wala ulinzi wowote lema akasema tulale pale ccm wasije kuleta kura zao alafu yeye arudi lodge kiuanisia apo alikiuka haki za binadamu hakuna aliye kubaliana nae tukarudi wote lakini alikasirika kwa kuto msikliza tulirudi camp, wakati nipo camp nilipata hali ya kuumwa nikampigia simu Nelson (mdogo wa mbunge) ambaye yupo arusha nikamweleza hali yangu ya Afya.

Aakaniambie ngoja awasiliane na kaka (mbunge) aweze kunisaidia akawasiliana na kaka yake (Lema) then akanipigia akaniambie nimfate tuongee nilimfata lakini lema aligoma kabisa kuongea na mimi na kudai amepokea simu kutoka kwa nelson lakini yupo bize nimtafute badae badae kumtafuta hakutaka kunipa nafasi na uku anajua hali yangu ni mbaya kama alivyo elezwa na mdogo wake .
 
Kwanza niwasalimu wadau wa
jamii forum,

Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu
umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi
wetu,na kukemea mabaya yanayofanywa na viongozi.

Binafsi nilimuona LEMA ni kiongozi jasiri anaye weza kututetea wana wa
arusha achilia mbali elimu yake tunayoamini ni yakuunga unga ,vijana
tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha anashinda na kweli alishinda
tulifurahi sana sana,tuliona ukombozi upo ajira tutapata hospitali
aliyoihaidi atajenga kituo cha kufundishia kingereza atakijenga kama
alivyo ahidi,tulimpa mda na ushirikiano wakutosha lakini amekuwa na
ZARAU hapokei simu na ata akipokea bhasi mimi leo ntakijikita kusema
yale yote yalio nikuta wakati ULE ninaamini sana siasa za Tanzania
nakumwamini lema kama kiongozi jasiri anae weza kututetea wana wa
ARUSHA.

LEMA ni mtu anayetamka sana neo HAKI ZA BINADAMU pale zinapo vunjwa
kamaana nyingine ni mpigania haki za binadamu pale zinapo vunjwa lakini
na yeye ni mmoja wa viongozi anaye vunja haki za binadamu. LEMA ndio
chanzo cha familia za waliopoteza maisha january 5/ 2011 kishi maisha
magumu, aliahidi kuitunza familia zile lakini paka na kesho hakuna
wanachokipa familia ile watoto wanakosa mahitaji muhimu pesa
zinachangishwa laini haziwafikii walengwa lema ndio anayesimamia
ukusanywaji na zina ishilia kwake huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu,
tulipe kisogo ilo tuendelee kuangalia upana kiuka haki za binadamu mwaka
2011 kulikuwa na uchaguzi mdogo igunga waliitajika vijana kadhaa kutoka
ARUSHA kwa ajili ya uwakala, mdogo wake Lema(Nelson) alinipigia simu
nakuniomba tunde pamoja igunga nilikuwa na ratiba yakujiandaa kurudi
chuoni kuendelea na masomo kwani ndo tulikuwa tunafungua chuo(udsm).

Nelson aliniomba sana nivute siku 4 twende tabora sikuwa na shaka kwani
siku izo 4 zilikuwa niza usajini ckuwa nashaka nikakubali nikiamini
tutakuwa pamoja na Nelson (mdogo wa mbunge) ilikuwa siku ya ijumaa
tulikutana offisini kwa mbunge nilitambulishwa pale kwa mke wa mbunge as
a student and friend of Nelson (mdogo wa mbunge) Nelson na yeye alikuwa
anajiandaa kwenda kuanza chuo kw hiyo wote tulikuwa student lakini
kutokana na damu ya upendo kwa watanzania wenzetu tuliona ni bora
tukaakikishe wanapata uongozi imara tukawasaidie.

Pale tulipo simu ya mke wa mbunge ikaita niliamini ni mbunge (LEMA)
baada yakumaliza kuongea alikata simu alimwamuru Nelson kutokwenda
Igunga kwani anajiandaa kwenda chuoni na kule kuna vurugu anaweza kuumia
lakini mimi alikuwa akinishawishi niende hapata kuwa na shida kwani
ataniunganisha na mbunge alinishawishi sana sikuwa na njia nyingine
tukaanza safari tulitumia njoku express tulianza safari saa 12 jion
nakumbuka tulifika saa 11asubuhi,tulipokelewa na kiporo cha
wali,walituahidi kula vizuri na kulala vizuri lakini hakuna
kilichofanyika tulilala kwenye magari wao walila lorge sisi tupo njee
kiukweli haki za binadamu lema alizikiuka pale hakuna aliyopenda iyo
hali miongoni mwetu kauli waiokuwa wanatupa etii sisi NI MAKAMANDA
tuvumilie ukombozi unakuja hatukupenda ata kidogo.

Siku moja saa 8usiku lema aliwasha GARI akatuchukua watu wanane
tukaenda umbali wa kama km 20 kutoka pale lodge tulifika sehemu kituo
cha kupigia kura sio shule bali ni sehemu tu iliandaliwa maalumu kwa
kazi hiyo,kumbuka hakuna umeme maji wala ulinzi wowote lema akasema
tulale pale ccm wasije kuleta kura zao alafu yeye arudi lodge kiuanisia
apo alikiuka haki za binadamu hakuna aliye kubaliana nae tukarudi wote
lakini alikasirika kwa kuto msikliza tulirudi camp, wakati nipo camp
nilipata hali ya kuumwa nikampigia simu Nelson (mdogo wa mbunge) ambaye
yupo arusha nikamweleza hali yangu ya Afya.

Aakaniambie ngoja awasiliane na kaka (mbunge) aweze kunisaidia
akawasiliana na kaka yake (Lema) then akanipigia akaniambie nimfate
tuongee nilimfata lakini lema aligoma kabisa kuongea na mimi na kudai
amepokea simu kutoka kwa nelson lakini yupo bize nimtafute badae badae
kumtafuta hakutaka kunipa nafasi na uku anajua hali yangu ni mbaya kama
alivyo elezwa na mdogo wake .

Hao misukule wa CHADEMA unadhani watakubaliana na wewe? sana sana utaambulia matusi na kashfa! Yani hao jamaa kama wamerogwa!
 
Hao misukule wa CHADEMA unadhani watakubaliana na wewe? sana sana utaambulia matusi na kashfa! Yani hao jamaa kama wamerogwa!
Hahahahaha,
Mkuu kweli hawa jamaa ni misukule wao wanakwenda kama misukule tuu ukiwaambia kiongozi wao ana kasoro watakuporomoshea matusi utafikiri wana shehena ya matusi
 
nashukuru wachangiaji kwa kuwa mko makini huyu jamaa ni mtumwa na anachokitumikia hakijui pole zake
 
that is real happen and i cant talk more on this if you don't satisfy just email me ,the aim of writing this is to make people know and not to make confusion with you people all in all massage sent

ha ha ha ha teh teh teh tehteh teh teeeh, kama english ya udsm ndo hii basi hata english ya shule za kata ni nafuu
 
Back
Top Bottom