TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,296
- 28,000
kwani kiingereza ni lugha ya kufundishia elimu ya juu china kama hapa kwetu bongo?
Rejea post #26 ya uzi huu. Hata hivyo mimi nadhani tunatofautina namna tunavyotafsiri neno Msomi, ambapo mimi naamini umahiri wa kumudu kiingereza haiwezi kuwa sababu pekee ya kumtambulisha mtanzania kuwa ni msomi.