hata waliotupa bomu soweto watatajana tu, malipo ni hapahapa dunianiMbinu ambazo zimekuwa zikitumika kuidhibiti chadema imegeuka silaha hatari dhidi ya ccm. Ndugu yangu mwigulu, tuliyenaye kundi la Lowassa inabidi achunguzwe na hata kushtakiwa binafsi ili kulinusuru chama. Mwigulu amefika hatua kuanza kuwafanyia wana ccm ughaidi. Kisiri anapambana na Membe, Sita pamoja na Nape, ambaye tayari ameshatayarisha video ya kumsulubu. Hizi ni tabia saa kighaidi. Tusizipuuze ili kulinusuru chama.
Mbinu ambazo zimekuwa zikitumika kuidhibiti chadema imegeuka silaha hatari dhidi ya ccm. Ndugu yangu mwigulu, tuliyenaye kundi la Lowassa inabidi achunguzwe na hata kushtakiwa binafsi ili kulinusuru chama. Mwigulu amefika hatua kuanza kuwafanyia wana ccm ughaidi. Kisiri anapambana na Membe, Sita pamoja na Nape, ambaye tayari ameshatayarisha video ya kumsulubu. Hizi ni tabia saa kighaidi. Tusizipuuze ili kulinusuru chama.