Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

mkuu nilikuambia nitakuanika iliwatu waendelee kukufahamu kuwa wewe ni kilaza na tayari wamekwisha kukufahamu kuwa ni kilaza kweli kweli umeishiwa hoja unaongea siasa za maji taka, hii ngoma huiwezi tuachie sisi wanyamwezi dogo, nenda taratibu CDM haivamiwa hovyo hovyo kama unavyodhani, wenzako walijaribu wakashindwa sasa wanatafuta njia ya kila na mmna ya kujirudi ndani ya chama ila amepoteza faith ndani na nje ya chama, anatamani kuondoka hata kesho ila hana pakwenda kwakuwa CDM ndicho chama kilicho na sera bora kuliko sera za chama chochote kile...

kwahayo dogo CDM imekuzwa kwagharama sana hatuta ruhusu wajinga kama nyie kuiua CDM kwani cdm ni zaidi hata ya maisha yetu..
nahapo aseme hilo jina nilabandia big up kilewo
 
Masikini ID mbili, Red One = Kilewo!

Now this is too low,Your comments are prickish. It seems your ego has diminished and needs to be replenished.Kumbe nimekuonea tu,hebu nikupuuze kuanzia sasa.Karibuni kwenye thread nyingine Mjaribu/mjitahidi kujadili masuala muhimu ya taifa ili tulikomboe taifa hili ambalo CCM yenu imeshindwa
 
Wafuasi wa chadema bwana, eti nao wameshikiana bango.Teh teh teh teh ccm walivua gamba la nyoka, na nyie nungunungu vueni hiyo miiba. Lol

E-coli inatasha huku, mie mpezi wa Qkamba sijui itakuwa je
 
Masikini ID mbili, Red One = Kilewo!

Now this is too low,Your comments are prickish. It seems your ego has diminished and needs to be replenished.Kumbe nimekuonea tu,hebu nikupuuze kuanzia sasa.Karibuni kwenye thread nyingine Mjaribu/mjitahidi kujadili masuala muhimu ya taifa ili tulikomboe taifa hili ambalo CCM yenu imeshindwa

mkuu ulichoambiwa ndicho sahihi acha kubadili mada hii, ulichokuwa unataka tayari umeshaonyeshwa ni jinsi gani watu walivyo majasiri na wasivyotaka pumba funguka sasa na ukimbie usisubiri kukanyaga miba..... tunataka ukombozi wa kweli na silongo longo
 
mh. slaa umeonyesha waz kumtetea heche kwa kusema amekutwa na wajumbe city view hotel lakini hawakuwa wajumbe, naanza kusema alikuwa na mashuve mwkt tanga diwani wa cnza julieth rushuli mwkt bukoba na wengine wengi, ndipo heche alipo mtuma mashuve ucku wa saa 6 akampokee hasan baruti na wenzake pale ubungo wakitokea shy na kuwalipia guest jilani na kituo cha big brother. heche kama ni uongo ulaaniwe kama ni mwenyekiti unae taka kutuongoza vizuri jiuzulu 2narud kule kule 2nakemea uchakachuaji wa ccm leo 2nayafanya yaleyale./

humu kukiwa na post anti-chadema zinafutwa....... kuna thread mtu ameeleza ya undani ,nami nilichangia HAIPO
HAYA......SASA, HAYA YAMEFANYIKA....WAJE WAJIBU TUWASIKIE....AU NANYI MWAFANYA SIASA ZA SISIEMU?
 
I dont understand kwa nini Zitto anaongea as if hakuwepo kwenye uchaguzi. Huyu mtoto amekuwa na kasumba ya kuongea na vyombo vya habari mambo ambayo kimsingi ni Internal communications! Kama anataka kumuandikia barua kiongozi ndani ya chama chake kwa nini akasemee majira? Zitto is bad news kwa CHADEMA through & through!

i like this post plse
 
Suit yourself...fanya kazi ya kunifuatilia.Ati kukimbilia JF?sijawahi na wala sitawahi kufanya hivyo.Mliitaka muendelee kupotosha,kuchafua majina ya watu,loh.Jitokeze real na jina lako.Wanasiasa dhaifu ndio walioliangusha hili taifa.Naona una jazba sana,nahisi kucheka.Tafadhali ukikutana na Mimi kuwa na ujasiri tu wa kuni-face uache kulialia.Anyway,You are not worth my time
Haya ni maneno yako muda mfupi tu baada ya wewe kuenguliwa nikakuambia yataku-cost navyoona yameshaanza kuku cost, the problem you talk too much kama unavyosema mlituhumiwa wengi mbona wenzako hatuwasikii kama wanatumia majina ya ID tofauti huoni hapo wanakutegea wewe uwe vuvuzela lao ili wao iwe rahisi kuruka watakapobanwa na chama.
quote_icon.png
Originally Posted by Ben
Kwa sababu tulifanya alliance na Grayson,hili likaonekana ni kosa kubwa.Ndiyo nakubali nilifanya alliance na kuunganisha ajenda zetu.Sasa hii hofu na kosa liko wapi?
Nilituhumiwa kupokea wajumbe kutoka Zanzibar-Hizi ni tuhuma za kupika
Nilituhumiwa mara 2 kupiga kampeni kabla ya muda-Hapa hapana ukweli
Nilituhumiwa kufanya vikao vya siri mara 8-Huu ni uzushi,tuhuma za kupika
Nilituhumiwa kuwagawa vijana-Hii sio sahihi,sijui msingi na mantiki ya tuhuma hii

Nakubali inapotokea kwamba nimekiuka kanuni ni lazima niwajibishwe,hatuwezi kuwa na demokrasia bila kanuni.Vijana wanaelewa ni kitu gani kinaendelea.Kinachohitajika sasa ni kuhakikisha kwamba uchaguzi hauvurugiki kwa maslahi ya chama chetu.Asanteni nitarudi tena

quote_icon.png
Originally Posted by Ben
Tuhuma hizi si mimi peke yangu,Grayson na mwampamba ambao tulikuwa tuungane,tuhuma hizi zilimwangukia na kuondolewa katika uchaguzi.Anyway,alliance ni kosa?kila mmoja alikuwa tayari kuacha kugombea uenyekiti kwa masharti ya kuangalia hoja za wagombea na kuziunganisha ili tuelekeze nguvu kwa mgombea mmoja kwa maslahi ya BAVICHA.Sasa hili sitaki kulijadili saa hizi

Kuna mgombea mwingine John Heche naye inasemekana alikuwa na tuhuma lakini za kwake ikasemekana hazikuwa na ushahidi na nyingine ambazo zilionekana ni nyepesi kwa hiyo ikabidi apewe Onyo,aendeleee na uchaguzi wakati huo huo atakuwa anachunguzwa tuhuma zake.
 
Msiwe na wasi wasi kuhusu TAKUKURU, ikihudumia kesi za ccm inaangalia maslahi ya aliyowateua, lakini kwa cdm hawana maslahi yoyote hivyo watatenda haki
Una hakika hakuna ccm ndani ya cdm?
Takukuru ilimsafisha Chenge, lkn CCM waliposoma ujumbe wa nguvu ya umma, wanahaha kumtema huyo 'msafi Chenge' ktk drama ya magamba. Ni nani mwenye akili, tena akili za kawaida, anayeweza kuamini kuwa kuna mwana CHADEMA, tena kiongozi, anayeweza kuihusisha CHADEMA na Takukuru?
Ye yote awaziaye kuitumia Takukuru ndani ya CHADEMA ni mwana CCM, na inatakiwa aogopwe kama ukoma. Kabwe Zito tubu dhambi zako au kaungane na hao unaowatumikia, maana kwa wazo hilo, hakika huitumikii CHADEMA!
 
Waberoya
Kwani ndo wewe unakwenda kwa jina la Ado? maana sielewi hapa

Hapana mkuu! I once did the same kama Addo, post ya Regy imeniuma hata mimi ambaye niliishawahi kukwaruzana naye huko nyuma.
 
Wafuasi wa chadema bwana, eti nao wameshikiana bango.Teh teh teh teh ccm walivua gamba la nyoka, na nyie nungunungu vueni hiyo miiba. Lol

E-coli inatasha huku, mie mpezi wa Qkamba sijui itakuwa je

You mean this?

250px-MainePorcupine.JPG


I am speechless on what is happening in CDM now, after my investigation it seems each side has its terrible mistakes; kukiponya hiki chama ni kuondoa uongozi woote wa sasa na kutokuruhusu anyone of them kugombea position nyingine

I once told who are working as CDM$CCM defenders that , you need to be crazy to defend any politician! you may defend him/her today and he may let you down to earth tomorrow!

I better defend football players not politicians because their intention is always hidden.

Hizi tuhuma za rushwa is another stain
 
Jibu swali, we ndio Ado? Kwanini umeomba msamaha(Kosa la Ado) kwa ID ya Waberoya(aka Anti-Slaa)?? Then ukijibu tuendelee..


Nimeishajibu mkuu, nadhani umerukia kusoma post ya mwisho! wewe wasema hivyo, wenzako hawanioni hivyo. Angalia usitoe post kufuata mikumbo humu.

I may be ant-anyone what is the problem? am I not free to express what I think? why have you not mentioned me as ant-Kikwete? acha kujichora wewe!

Humu ndani kama nilitoa hoja haukujibu shauri zako, utabaki kusema ant-xx kila mtu utampa jina

Be you! wenzako chadema wanabaki wanakushangaa, because almost all my posts that you thought I am ANT-SLAA , I was actually Building CDM! pole we!

Halafu mwisho nisipojibu utafanya nini? acha kuwa addicted ww, kwa sababu ya demokrasia unaweza kusema lolote lile! ila kumbuka wenzako hatuna vinyongo kiasi hicho wala povu halitutoki..THIS JF is kind of DEBATE. WE differ, we argue yet we love each other. Ndio maana siku za karibuni wamezuka watu wanatafuta mabifu tu humu ndani na leo hii hawaoni maada za kujibu , imebaki matangazo ya chama fulani....freely we come here, freely we go...

Unayesema ant-slaa ndio nilikuwa wa kwanza kutoa msaada alipopata tatizo la gari Iringa...siasa sio uadui wewe!!!!

Waza kuikoa chadema ambayo inateketetea sio kusema ant-slaa , Nyerere alikuwa na 'ants' so as Obama,so as Jesus and Muhammad who is Slaa asipingwe? -(kwa definition yako)acha kujiaibisha wewe!

BTW kwa sababu CDM iko kinyume na CCM so ni ant-CCM?? haujui siasa


Mwisho mkuu ukisoma hii thread wanachadem wenyewe wanasema wako kinyume na Slaa kutokana na upendeleo wake! unawasemeaje hao??

kwa upendo mkubwa ili kuweka umoja ndani ya chama nimeandika 'the house that divided against itself cannot stand'' huu ni upendo wa ajabu kwa ambaye si chadema akautoa bure kwa wanachadema...huu ni ujumbe maarufu wa Yesu Masiha na Abraham Lincoln aliutumia sana mwaka 1858 kwenye ile speech maarufu sana.

Sasa wewe mchadema damu unafanya nini kuleta umoja wa chama??? au unafunika moshi kwa kusingizia waberoya....ambaye haujulikani hata mtaa wa pili???

acha kuwa addicted na JF , kuna limitation hapa mkuu.

nitasema lolote lile kwani niko huru hapa, ukimeza shauri zako, ukitema shauri zako.

Kuna wezako hawalali likisemwa kitu tu..waberoya..mimi nilikuwepo kwenye uchaguzi?

TITLE INASEMA KULIKUWA NA RUSHWA NDANI YA BAVICHA, HAWA VIJANA WAMEJIFUNZA WAPI? NA WANAENDA WAPI? WATAFAIKA WAPI?

PRINCIPALLY HATA ALIYESHINDA ALITOA RUSHWA, AU kwa sababu hakutumia M-PESA??

Usinichokoze mkuu nitaharibu siku yako na kukimbia chadema leo hii hii??
 
Nimeishajibu mkuu, nadhani umerukia kusoma post ya mwisho! wewe wasema hivyo, wenzako hawanioni hivyo. Angalia usitoe post kufuata mikumbo humu.

I may be ant-anyone what is the problem? am I not free to express what I think? why have you not mentioned me as ant-Kikwete? acha kujichora wewe!

Humu ndani kama nilitoa hoja haukujibu shauri zako, utabaki kusema ant-xx kila mtu utampa jina

Be you! wenzako chadema wanabaki wanakushangaa, because almost all my posts that you thought I am ANT-SLAA , I was actually Building CDM! pole we!

Halafu mwisho nisipojibu utafanya nini? acha kuwa addicted ww, kwa sababu ya demokrasia unaweza kusema lolote lile! ila kumbuka wenzako hatuna vinyongo kiasi hicho wala povu halitutoki..THIS JF is kind of DEBATE. WE differ, we argue let we love each other.

Unayesema ant-slaa ndio nilikuwa wa kwanza kutoa msaada alipopata tatizo la gari Iringa...siasa sio uadui wewe

Waza kuikoa chadema ambayo inateketetea sio kusema ant-slaa , Nyerere alikuwa na 'ants' so as Obama,so as Jesus and Muhammad who is Slaa asipingwe? -(kwa definition yako)acha kujiaibisha wewe!

BTW kwa sababu CDM iko kinyume na CCM so ni ant-CCM?? haujui siasa

Wabe

Inaonekana unaendeshwa na hisia sana. Na usuifikiri kuandika/kuuliza hapo juu basi nimedandia treni kwa mbele au nimefuata mkumbo. Nakufahamu sana(kwa Id ya Waberoya)!! Sikujua kwamba una Id 2. Huwezi danganya kwamba eti kosa kama hilo umefanya miaka kadhaa nyuma leo uje kustuka na kuomba msamaha kwa ''quote'' ambayo haikuhusu hata chembe!!huo ni uzushi. Mtea mwenyewe kathibitsha!! Kakupa kubwa!! Sijui ukifikiri kwamba hakufahamu. Watu nyie mnaoendeshwa kwa hisia ni wakuogopwa kama ukoma! na ndio maana hata Regia Mtema kasema ni afadhali hata huo uenyekiti haujaupata, umeota mbawa. Sasa kwako wewe kumsaidia Dk Slaa kutengeneza gari yake ndio ulifikiri ni ticket ya kukupeleka U-Chairman?? think twice boy.

Naona umeingia cha kike, umeogopa kudai kwamba wewe ndio Ado coz kwa kufanya hivi utakuwa umejipalia makaa wewe mwenyewe. Na sasa hivi naaza kukunukuu post zako za nyuma ukizotaka akina Dk Slaa waachie ngazi kumbe ulikuwa na lako moyoni!! Na kama ulidhani nimekurupuka,sasa ndio utaumuka.
Shame on u. U have been known!!
 
Zitto hafai kuwa mwenyekiti wa CDM hasa kipindi hiki! For the obvious reasons nilikwisha eleza hapa, binafsi naona amepoteza credibility na trust. Kulazimisha hoja kwa kivuli cha Demokrasia huko ninawaachia

Kama wale aslimia 80 waliosema kuwa siasa za upinzani hazifai wakati ule...

Kama wale wanaosema kuwa upinzani haufai kupewa nchi for obvious reasons...

Kama wale wanaosema Dr Slaa hawezi kupewa urais for obviouse reasons....

Hivi mwenyekiti wa sasa ana crdability gani na kina nani wanamuamini?

Well, atleast wewe uko honesty kwamba demokrasia ni changa la macho tu na wala hamna mpango nayo....

Inabidi kubadili hata jina maana baada ya kuprove kuwa sio wanademokrasia sasa mnajitahidi kuprove pia hata hayo maendeleo kiduchu mko tayari kuyabomoa kwa maslahi yenu kisiasa na binafsi.....
 
Eti uchaguzi wa 2009 hautasahaulika ni kama mnaota kwa taarifa yenu M/kiti mpya ni Heche si yule ndugu yenu aliyemtaka, mwenzenu ndiyo anaishia hivyo kila kitengo wanamtenga wabunge wamemtenga wazee wamemtenga nafikiri kama ni mwenye busara atakuwa ameshaanza kujihisi, in short rafiki yenu anajimaliza mwenyewe kwa kutaka kupandikiza siasa za makundi ndani ya CDM wazee hawataki hilo na wameonya kwa ukali sana tupeni tu muda he will be forgotten soon.


Inaendelea hulka ya kujidanganya ipo katika DNA ya Chadema....mifano yote inayowazunguka kuanzia CUF na hivi karibuni kabla ya kuzinduka CCM bado tu hamzinduki? Mnajidai na umaridadi wa gofu lilibandikwa rangi ya maji.....

Hivi Mbowe kuwa na kundi ni halali lakini kwa Kabwe ni haramu..
 
You mean this?

250px-MainePorcupine.JPG


I am speechless on what is happening in CDM now, after my investigation it seems each side has its terrible mistakes; kukiponya hiki chama ni kuondoa uongozi woote wa sasa na kutokuruhusu anyone of them kugombea position nyingine

I once told who are working as CDM$CCM defenders that , you need to be crazy to defend any politician! you may defend him/her today and he may let you down to earth tomorrow!

I better defend football players not politicians because their intention is always hidden.

Hizi tuhuma za rushwa is another stain

Mkuu ,
Ndo huyo huyo nungunungu
 
Back
Top Bottom