Tuhuma Vs Amani

Tuhuma Vs Amani

ERTUGRUL BEY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
11,529
Reaction score
21,530
Screenshot_20251212-200523_Google.jpg

My people,​

Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?

Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki

Halafu

Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki

Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.

Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena

Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo

Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku

Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..

Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?

Majibu unayo wewe!

Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu

Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii

Tutaelewana mdogo mdogo

Ni hayo tu!
 
View attachment 3514828

🚮
 
Nasema hivi, amani ya kuwaacha viongozi watuibie hadi sisi kukosa elimu bora, huduma bora za afya, kukaa madarakani bila ridhaa yetu nk, hatuitaki amani hiyo. Hiyo kwetu sio amani bali ni uoga na ujinga uliovalishwa koti la amani. Ombeni tu tusikamate silaha za moto, wanaowalipa kupost huu upuuzi hela zitaka mbona?
 
Kwa hivyo umetuona hatuna akili kiasi hiki?
Midege au matoy hayo yamepatikana kwa pesa za halali?
Hao viongozi wanaomiliki midege hawawezi kuondoa au kupunguza tozo au kodi za kuendesha biashara ya ndege?
Hawawezi kuondoa au kupunguza tozo zinazotozwa na mamlaka ya viwanja vya ndege, au zile za mamalaka ya anga?

Wakiondoa na kupunguza hizo kodi na tozo hawatapunguza mapato na kuathiri bajeti ya maendeleo, elimu, afya n.k.?
Hamtatuongezea Kodi kwenye vitu muhimu kufidia Ile mliyokwepa?

Mfanyakazi gani wa umma anaweza kuwafungia hiyo kampuni ya ndege endapo watakiuka taratibu za usalama?

Nani ataweza kuwanyima kibali Cha airworthiness endapo hawatakidhi vigezo?
Vipi usalama wa raia na mali zao endapo ndege Zita anguka na kuuwa?

Mali au maisha ya wahanga wa ajali hiyo watalipwa inavyo stahili bila kiongozi kutumia mamlaka yake kuwanyima haki?

Kiongozi akishindwa kulipia bima ndege na ikaangukia watu au masli zao Nani atawalipa kwa haki au atamwajibisha mmiliki wa ndege?

Zingatia huku siyo Ulaya au Marekani ambako raisi anaweza kumiliki biashara akafuata vizuri sheria na taratibu. Akikiuka anawajibishwa kama wengine.

Tuambie mswahili mwenzio Ditopile aliwajibishwa kwa haki kwa wakati kwenye tukio la mauwaji ya dereva daladala?
Chenge aliwajibishwa ipasavyo kwa kukosa bima aliposababisha kifo cha watu waliokuwa kwenye Bajaj?
Mkuu usituone wajinga hivyo.

Wewe tetea tu udhalimu ila asili ipo na Mungu yupo.
Majibu utayapata tu hata ikiwa kwa kuchelewa.
 
Amani inakuja kwa kutekwa na kuuwawa?
 
Nikifa kwa kukosa huduma ya hospitali au matibabu siathiriki si ndio eeh? Nikishindwa kupata maji safi na salama ya kunywa siathiriki sio. Mtoto wangu akisoma kwa kukaa chini kwa kukosa madawati au chumba bora cha darasa siathiriki sio?
 
Nasema hivi, amani ya kuwaacha viongozi watuibie hadi sisi kukosa elimu bora, huduma bora za afya, kukaa madarakani bila ridhaa yetu nk, hatuitaki amani hiyo. Hiyo kwetu sio amani bali ni uoga na ujinga uliovalishwa koti la amani. Ombeni tu tusikamate silaha za moto, wanaowalipa kupost huu upuuzi hela zitaka mbona?
Hiyo amani ndiyo inakufanya mpaka sasa upo na nafasi ya kutumia hiyo simu yako rununu na kujadiliana hapa

Lau sio hiyo amani huenda now ungekuwa camp ya wakimbizi unasubir chakula cha misaada

Usibeze amani ambayo unayo sasa ikipotea kuirudisha ni kazi kubwa sana
 
Nikifa kwa kukosa huduma ya hospitali au matibabu siathiriki si ndio eeh? Nikishindwa kupata maji safi na salama ya kunywa siathiriki sio. Mtoto wangu akisoma kwa kukaa chini kwa kukosa madawati au chumba bora cha darasa siathiriki sio?
Hizo huduma zimeanza kukosekana hii awamu ya sita pekee??

Nchi ina miaka 64 ya uhuru hukuandamana kudai hizo huduma,leo unajifanya unaziona ni jambo jipya

Hizi changamoto haziondoki kwa siku moja kama unanua mkate dukani
 
Kwa hivyo umetuona hatuna akili kiasi hiki?
Midege au matoy hayo yamepatikana kwa pesa za halali?
Hao viongozi wanaomiliki midege hawawezi kuondoa au kupunguza tozo au kodi za kuendesha biashara ya ndege?
Hawawezi kuondoa au kupunguza tozo zinazotozwa na mamlaka ya viwanja vya ndege, au zile za mamalaka ya anga?

Wakiondoa na kupunguza hizo kodi na tozo hawatapunguza mapato na kuathiri bajeti ya maendeleo, elimu, afya n.k.?
Hamtatuongezea Kodi kwenye vitu muhimu kufidia Ile mliyokwepa?

Mfanyakazi gani wa umma anaweza kuwafungia hiyo kampuni ya ndege endapo watakiuka taratibu za usalama?

Nani ataweza kuwanyima kibali Cha airworthiness endapo hawatakidhi vigezo?
Vipi usalama wa raia na mali zao endapo ndege Zita anguka na kuuwa?

Mali au maisha ya wahanga wa ajali hiyo watalipwa inavyo stahili bila kiongozi kutumia mamlaka yake kuwanyima haki?

Kiongozi akishindwa kulipia bima ndege na ikaangukia watu au masli zao Nani atawalipa kwa haki au atamwajibisha mmiliki wa ndege?

Zingatia huku siyo Ulaya au Marekani ambako raisi anaweza kumiliki biashara akafuata vizuri sheria na taratibu. Akikiuka anawajibishwa kama wengine.

Tuambie mswahili mwenzio Ditopile aliwajibishwa kwa haki kwa wakati kwenye tukio la mauwaji ya dereva daladala?
Chenge aliwajibishwa ipasavyo kwa kukosa bima aliposababisha kifo cha watu waliokuwa kwenye Bajaj?
Mkuu usituone wajinga hivyo.

Wewe tetea tu udhalimu ila asili ipo na Mungu yupo.
Majibu utayapata tu hata ikiwa kwa kuchelewa.
Je, ni awamu hii tu ndio haya ya viongozi kumiki mali mbali mbali limekuwa jambo jipya

My point,hayo yote uliyojaribu kugusia hapa yamekuwwepo miaka nenda rudi na sisi kama wananchi pamoja na rushwa,ufisadi na namna zote za uporaji wa rasimali za nchi hii,bado tuliendelea kuwa na amani na kuendelea na maisha yetu pamoja na changamoto Zale

Kwahiyo tusidanganyane hapa ili jambo leo ndio libebe headline

Sasa ishu inakuja hapa,pamoja na yote hayo bado mwananchi wa kawaida aliweza na anaendelea kuendesha maisha yake hivyo hivvyo japo kinyonge.

Lakini amani ikiondoka maisha hayatakuwa kama ambavyo tunayo sasa,huyu maskini wa watu atakosa hata hicho kidogo allichokuwa anapata na kibaya zaidi hata uhakika wa maisha na usalama wake hautakuwepo tena.

Amani ndio tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana
 
hakuna amani ya kutekana na kuua wapinzani.una mahakama una polisi una magereza kwnn usiwashitaki.kwann uwateke na kuua.HAKUNA AMANI BILA HAKI.AMANI BILA HAKI NI UOGA NA IPO SIKU ITATOWEKA
 
Kwanini muibe uchaguzi kama mnataka amani? Yaani tuache wezi kisa tunaogopa machafuko? Hilo haliwezekani bwana mdogo kama mnataka Taifa liwe na amani fanyeni haki.
 
View attachment 3514828

My people,​

Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?

Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki

Halafu

Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki

Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.

Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena

Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo

Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku

Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..

Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?

Majibu unayo wewe!

Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu

Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii

Tutaelewana mdogo mdogo

Ni hayo tu!
Kwamba hakuna UTEKAJI?
 
Kwanini muibe uchaguzi kama mnataka amani? Yaani tuache wezi kisa tunaogopa machafuko? Hilo haliwezekani bwana mdogo kama mnataka Taifa liwe na amani fanyeni haki.
Wenye serikali yao wanakusikia,mie natoa mchango wangu kwenye kupambania amani yetu iwepo

Mengine ni majukumu au wajibu wa serikali
 
Waambie wenzako hao kwamba amani na zao la haki kutamalaki. Hata wewe hutalazimika kutoa mahubiri ya kuwakumbusha watu hasara za amani
 
Hiyo amani ndiyo inakufanya mpaka sasa upo na nafasi ya kutumia hiyo simu yako rununu na kujadiliana hapa

Lau sio hiyo amani huenda now ungekuwa camp ya wakimbizi unasubir chakula cha misaada

Usibeze amani ambayo unayo sasa ikipotea kuirudisha ni kazi kubwa sana
Uoga si amani. Nenda gaza kama hutakuta watu wanatumia smart phone. Acha kuleta nadharia za kijinga boss.
 
Hizo huduma zimeanza kukosekana hii awamu ya sita pekee??

Nchi ina miaka 64 ya uhuru hukuandamana kudai hizo huduma,leo unajifanya unaziona ni jambo jipya

Hizi changamoto haziondoki kwa siku moja kama unanua mkate dukani
Ukweli machungu watu Wanataka shortcut baada ya kuangalia mizizi.

Fikiria hawa watu (Wanaharakati uchwara) waliombea Magu afe kwamba kifo chake ndio mwisho wa matatizo haya Magu akafa wakafurahi na kumdhihaki Kisha kumsifu mpya ili kuwakera Team Magu wakaendelea hivyo sasa kibao kimegeuka wanaombea yatokee yale yale yaani shortcut katika jambo lenye mizizi kwa miaka kibao kwa mihemko bila kufikiri kisawasawa.
 
Back
Top Bottom