Tuhuma Vs Amani

Tuhuma Vs Amani

Ukweli machungu watu Wanataka shortcut baada ya kuangalia mizizi.

Fikiria hawa watu (Wanaharakati uchwara) waliombea Magu afe kwamba kifo chake ndio mwisho wa matatizo haya Magu akafa wakafurahi na kumdhihaki Kisha kumsifu mpya ili kuwakera Team Magu wakaendelea hivyo sasa kibao kimegeuka wanaombea yatokee yale yale yaani shortcut katika jambo lenye mizizi kwa miaka kibao kwa mihemko bila kufikiri kisawasawa.
kwasas hujaona utekaj ?, ufisad ? Uvunjaj wa katiba ? mauaji ? uchafuz wa uchaguz ?
Hv kama mtu umechaguliwa kwa 98% kwann influence hiyo usiitumie kuwaelimisha raia wanaokupenda ili diaspora wasidanganye umma ?
 
Wenye serikali yao wanakusikia,mie natoa mchango wangu kwenye kupambania amani yetu iwepo

Mengine ni majukumu au wajibu wa serikali
nan mwenye serikal zaid ya mwananch w wa kawaida ambae kapigwa shaba trh 29 akiwa ndan mwake
 
Kwahiyo huko kwenu ndio unategemea kwa kujenga hoja. Mmefilisika sana
 
PUMBAVU
Funguka akili yako na uzungumzie mambo katika pande mbili,uovu ni uovu tu hata kama kila awamu itafanya.
 
View attachment 3514828

My people,​

Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?

Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki

Halafu

Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki

Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.

Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena Mada kama hizi mods mngekua mnazifuta juu kwa juu, maana zinaja9a saver tu.
 
Kuwa Muslim ni mtihani kwa tz

wengi wetu tuna elimu ya madrasa tu
Huwa haikupendezi hadi uhusishe udini. Munadanganywa madhabahuni na munashindwa hata kutumia akili ya kuzaliwa! Hivi kama kweli umesoma, kwani haionekani kuwa hivyo, tuambie shule ya msingi hukusoma na hao wenye elimu ya madrasa? Ikiwa ulisoma ni wangapi walikuwa mbele yako? Jee sekondari? Vipi chuo?

Usiwe mjinga kupita kiasi. Hao wanaokuambia wamesoma na wenye elimu ya madrasa na wanawatambua kuwa wanajua. Wanakuzuzua wewe kichwa maji, usiyejijua. Akili ya kuambiwa ongeza na yako.

Ni mimi mwenye elimu ya madrasa mwanzo mwisho. Karibu sana.
 
Wewe uko upande wa yule shekhe aliyesema watu wachinjwe?akasema heti ni msimamo wa waislam!we ujaona mpuuzi kama yule kuwa wanatuchafua waislam?
 
Wewe uko upande wa yule shekhe aliyesema watu wachinjwe?akasema heti ni msimamo wa waislam!we ujaona mpuuzi kama yule kuwa wanatuchafua waislam?
Nazungumza ulichoandika na sijamhusisha mtu mwingine. Ingekuwa vizuri ukajibu yale maswali niliyokuuliza baadae ukatafakari niliyoandika. Kama unadhani watu hawajui ( ni wajinga) umechelewa sana na kama unadhani unajua sana imechelewa sana. Sisi wenye elimu ya madrasa tumefundishwa kwamba ni hakika kila mwenye elimu juu yake kuna mwenye elimu (Quran 12: 76). Hivyo huwa hatujigambi.
 
View attachment 3514828

My people,​

Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?

Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki

Halafu

Endapo kuna lockdown sasa hivi ya wiki moja au mbili,wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au sogwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki

Najua kwa wasio chukua muda kutafakari hawatanielewa kwa mifano hii nataka kueleza nini hapa.

Kabla sijaendelea unashauriwa kama una hasira za karibu au una mihemko ya karibu basi lililo bora kwako ama pita kushoto usisome nyuzi zangu au niignore hutaweza kuniona tena

Kwasababu mabandiko yangu yatawakera sana mpaka mwishoni mwa mwaka,na si kwamba natukana watu au naandika mambo yasiyo na maadili laa,bali natofautiana na wengi wenu kimtazamo

Mifano hapo juu inaonyesha kwamba ama Kiongozi wa serikali kumiliki ile midege au mtoto wa namba one kumiliki matoy kwenye yard yake,, haya mambo hayata kuathiri wewe moja kwa moja ,kwakuwa una amani na uhuru wa kufanya shughuli zako za uchumi na kupata mkate wako wa kila siku

Lakini kama yakatokea machafuko na serikali ikaweka lockdown basi mimi na wewe maisha yetu yatabadilika mara moja,shughuli za uchumi zitasimama,hakuna movement,hakuna kwenda hospitali wala sokoni wala wapi..

Je kati ya viwili hivyo kipi ni cha kupiganiwa zaidi? Na kulindwa kwa wivu mkubwa?

Majibu unayo wewe!

Amani yetu ndio tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana, pinga harakati zote zinazo hatarisha amani ya nchi yetu

Na si kila mwenye kutuletea habari za uzushi na uongo mitandaoni tumkubali moja kwa moja,tujipe nafasi kujua ukweli wa habari hiyo kabla haijazua taharuki na kuleta madhara katika jamii

Tutaelewana mdogo mdogo

Ni hayo tu!
Kwa hiyo tufurahie tu kigogo mmoja au mtoto wa kigogo ajichotee Kodi yetu kununua midege yake binafsi au magari ya bei mbaya, wakati pesa hiyo ingetumika kutupatia: maji, dawa ...?
 
Back
Top Bottom