Tuhuma dhidi ya Bill Cosby

Tuhuma dhidi ya Bill Cosby

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,106
Reaction score
143,442
Hivi zile tuhuma lukuki dhidi ya Bill Cosby zimeishia wapi?

Kama sikosei ni wanawake zaidi ya 20 waliodai eti walibakwa na huyo mchekeshaji ingawa hakuna hata mmoja aliyemshitaki kwa kosa hilo.

Baadhi ya hao wanawake walidai kwamba eti walibakwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Wengine miaka zaidi ya 30 iliyopita. Wote waliotoa madai hayo hakuna hata mmoja aliyekuja na ushahidi dhidi ya Cosby.

Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na ukimya juu ya hilo sakata. Kulikoni?
 
Back
Top Bottom