Tuheshimu dini za wenzetu

Ila vyote viwili sio kweli!! Ukristu ni uzungu na Uislamu ni uarabu. Sasa tafuta dini yako ya asili yenye uhalisia wako. Mababu zako ndio kiunganisho na Muumba wa kweli. Naamini hakuna Muumba wa kweli anaemtoa mwanae kafara!
Huwa nashangaa sana. Unakuta mtu anasimamisha mishipa ya shingo na kujiita eti mimi mkristo au muislam. Wakati hizi dini zililetwa Kwa ajili ya kufanya watu weusi kuwa watumwa. Kuwa muislam au mkristo ni kuwa Bado unaedeleza utumwa. Jitambue
 
Ulishakufa ukaulizwa hayo maswali kaburini ndg yng au umesoma tu kwenye msaafu?
 
Huulizwi hivyoo unaulizwa uliyoyakosea basi na kama umefanikisha kwenda ahera kunywa divai basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…