Hili bichwa lilivyo ndo mniweke kitengo cha weed, mkuu hamjipendi wote nitaharibu vitengo vyenu kwa weed moja tu...😂Kitengo cha walevi na kilaji min -me | patrickk
Kitengo cha weeda Cannabis | KENZY
Kitengo cha entertainment dosho12 | Vincenzo Jr | ledada
Kitengo cha mapopo night owlers Intelligent businessman | @etugrul bey
Kitengo cha kataa ndoa komasava
Kitengo cha chai Mama Ndege | holoholo
Watabiri maprophet ubwabwa Tajiri Sina BAYA et al
patrickk nime mfolowo kwa fujo bwasheeKitengo cha walevi na kilaji min -me | patrickk
Kitengo cha weeda Cannabis | KENZY
Kitengo cha entertainment dosho12 | Vincenzo Jr | ledada
Kitengo cha mapopo night owlers Intelligent businessman | @etugrul bey
Kitengo cha kataa ndoa komasava
Kitengo cha chai Mama Ndege | holoholo
Watabiri maprophet ubwabwa Tajiri Sina BAYA et al
Chaputa enterprises yupo Mbaga Jr | dronedrake
Gravediggers wafufua nyuzi Cherecheche | PSL god
Eti nidhamu mods....ngoja ncheke mieTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Hahaha 😀 😀 mkuu weeda haina baya marasta inatusaidia.Hili bichwa lilivyo ndo mniweke kitengo cha weed, mkuu hamjipendi wote nitaharibu vitengo vyenu kwa weed moja tu...
Pombe ni kwa wafalme na wenye hekima ipo tangu kale watu wenye mamlaka na hekima kupiga funda la pombe🤣
Mwamba ni geniusHaha anakwambia gambe ni ibada 😀
Kama alivyo Le Presida papaa Dennis Robert Shughuru mobimba, fanya umkaribishe weekend mpate mbili tatu huku mkiunda katiba.Mwamba ni genius
Kuna kichwa Dr am 4 real PhD kwenye pombe wapo vichwa watupu nafikiri mwamba nae ni kipanga🤔Kama alivyo Le Presida papaa Dennis Robert Shughuru mobimba, fanya umkaribishe weekend mpate mbili tatu huku mkiunda katiba.
Tugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Hamna🤣Kwenye Kitengo cha uchawa sidhani kama kuna member anamfikia Lucas
Kimea kinaongeza IQ! sio poa 🙂Kuna kichwa Dr am 4 real PhD kwenye pombe wapo vichwa watupu nafikiri mwamba nae ni kipanga
NyachawaKwenye Kitengo cha uchawa sidhani kama kuna member anamfikia Lucas
Kaka nawakubali sana sana wanangu wa viti virefu risiti kwake Saint AnneKimea kinaongeza IQ! sio poa 🙂
mimi sio viti virefu lakini starehe ya gambe naipa respect, ukitoa sex naona gambe ndio starehe tamu hapa duniani.Kaka nawakubali sana sana wanangu wa viti virefu risiti kwake Saint Anne
Pombe acha kulinganisha na sex bwashee ukitoa pombe sex ifuate🤔mimi sio viti virefu lakini starehe ya gambe naipa respect, ukitoa sex naona gambe ndio starehe tamu hapa duniani.