Nakubaliana nawe kwamba muungano usiwepo. Sikubaliani nawe kwamba muungano unawanufaisha zaidi Wazanzibari. Jee hili la kuwanufaisha zaidi Wazanzibari limeanza 2021 au kabla? Ikiwa ni kabla ulikuwa wapi wakati huo hujasema, unasema leo?
Ndio mkuu. Umechoka kwasababu pale juu yupo Mzanzibari. Wakati huo wote ulikuwa unafaidi matunda ya muungano kwa kuididimiza na kuidhulumu Zanzibar haikuwa inakushuhulisha. Ubarikiwe kwa ubaguzi.