how?i think is to late
if u cant them join them
Pamoja na makosa yanayotokea serikalini
kwakuangalia usemi wa hawa wenzetu wapinzani leo hii mrema
akiongea kama msemaji wa CCM,sharrif ahmad akilazimisha
karume kupewa miaka 2 siku za mwisho bila kujali mauawaji
ya watu 27 yaliyofanywa...nimeona ni bora niendelee kumpa huyu
kikwete aata kama ameiba ni bora tumpe yule ambae ameshakula kuliko hawa mafisadi wa siasa wanaoendaa kuanza kuiba,..unajua ukishaiba na ukapata tena uwezi iba kama mwanzoni na ni bora umpe yule alieanza kula kuliko hawa wenye njaa zao na kuamua kuwa wasemaji wa chama tawala kwa njaa zao
embu wewe unaesoma jiunge nami kumpa DK,USTAADHI JAKAYA MRISHO KIKWETE......
naona watanzania tunazidi kumaliziwa nyetu mara madini au rasilimali zote ziishe nimepata nyeti kuwa hao wote wana mijihela kibao nje