Eeh hii nayo ni Break News? SISIEM hamuwezi kuiondoa madarakani labda wao wenyewe wepende iwe hivyo maana Watanzania ni wadanganyika na wafuata upepo unakovuma,pole sana kwa kuwa na uchungu na nchi yako.
Ushauri: Jaribu kujiunga na CCJ labda umanawea kufanikiwa kuiondoa sisiem madarakani Lol!
Nimesema hivyo kwa kuwa sijaona chama ambacho kina uwezo wa kushawishi wananchi kuiondoa CCM madarakani Labda tusikilizie mwaka huu tuone kama hata upinzani watapata viti vyakutosha bungeni....hahaha! Mtoto aliyezaliwa leo amng'oe baba yake madarakani? Ni kazi kweli kufanya hivyo labda miaka kumi wananchi ndo wataifahamu vzuri CCJ!
naona watanzania tunazidi kumaliziwa nyetu mara madini au rasilimali zote ziishe nimepata nyeti kuwa hao wote wana mijihela kibao nje
Conquest
Nimesema hivyo kwa kuwa sijaona chama ambacho kina uwezo wa kushawishi wananchi kuiondoa CCM madarakani Labda tusikilizie mwaka huu tuone kama hata upinzani watapata viti vyakutosha bungeni....
Inabidi kuwe na kampeni ya kuing'oa CCM tu si vinginevyo hapo ndo tutafanikiwa kwa mtazamo wangu!
Upumbavu ule ule! CCM ibaki. CCM ndie chama tu. Chma kingine hakiwezi. Ujinga. Ujinga kama huu ndie sababu ya CCM kubaki madarakani. Bila CCM amani itatoweka. Upuuzi.Kwa nini unataka kiondoke?? Una ushahidi gani kwamba chama kingine kitakachoingia hakitakuwa kama CCM au kibaya zaidi ya CCM. Nafikiri focus isiwe kuiondoa CCM, bali ni namna gani tunabadilisha mfumo. Walimu waandamane, wakulima wagome kulima, wafugaji wakatae kuuza mifugo yao kwa hasara etc. Kila mtanzania kwa nafasi yake awajibike na kukataa ukandamizaji usiokuwa na tija. Hili la kuondoa chama halina mshiko kwa kuwa hakuna aliyewahi kuwajaribu CHADEMA au CUF akajua kwamba wao siyo wezi na wabadhirifu kuwashinda CCM.
Yasijekuwa ya Kenya, waliiona KANU haifai, wakaiweka chama cha upinzani, at the end, kila mmoja wetu anajua ni nini kilichotokea.

hahaa si mchezo,hata mi nimesoma swali la mkuu halafu nilipoona hiyo avatar nikajikuta nikitafakari mambo mengi yakutisha..!du!