gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
dah...nashukuru yote hayo yamenipita..
Sina tatizo na my body...
Sina tatizo na my body...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaona wengi mitaani walivyo bonye bonye pia storiz na watu wa karibu walioolewa..inaelekea na wewe ni mmoja ya wanaume mibonge, hebu zingatia afya na shughuli uiweze ili mamsapu akufurahie uaname wako.
mhh! punguza hasiraTatizo lenu : mnakula hovyo,mnakunywa kupitiliza alafu mnabweteka.
Miili imevimba na kulegea kama milenda, minyama uzembe kila kona.
Nitake radhi belinda mi sio bonge na katika vitu ambavyo navipinga ni ubwanyenye,hivi ukimwona mtu mtaani bonyebonye unajua shughuli haiwezi na usikubali stor za kuambiwa embu tafuta kibongee mmoja piga nae game alafu uje unipe ripoti
Kumradhi mkuu J 20A. Kumbe wewe umejengeka eeh?! hakikisha huwi bwanyenye!
Nitatafuta bonge bonge halafu nikupatie ripoti..siyo leo wala kesho lakini.
Wanaume bana!! Kila siku mnatupigia kelele mkijisifu na hiyo supu ya pweza, au na yenyewe ishakuwa sugu mwishowe??
Nitazingatia hilo ili wifi yako aendelee kupata burudani,mbona unasema sio leo wala kesho iyo ripot si itachelewa sana
Huyo mume anarudi saa ngapi nyumbani, akitoka job anapitia kuonana na washkaji kwenye vijiwe vyenu akitoka hapo jajishibia minyama na biaz. Anafika nyumbani ni kukoroma, ameamka asubuhi kawahi kazini. Weekends ndiyo usiseme mipira na washkaji kwenye ratiba hawakosekani..Eeew ile miili ya wanaume wa siku hizi inakera!
Halafu huwezi kufanya mazoezi kama huzingatii unachokula. ni kazi bure!
Wanaume bana!! Kila siku mnatupigia kelele mkijisifu na hiyo supu ya pweza, au na yenyewe ishakuwa sugu mwishowe??
Maisha yenyewe haya muhimu kuwa mwangalifu mpaka nimpate, tuchunguzane na kuduu si chini ya miezi kadhaa. Ila ripoti utapata, uwe mvumilivu tu!
Wanaume bana!! Kila siku mnatupigia kelele mkijisifu na hiyo supu ya pweza, au na yenyewe ishakuwa sugu mwishowe??
Tatizo lenu : mnakula hovyo,mnakunywa kupitiliza alafu mnabweteka.
Miili imevimba na kulegea kama milenda, minyama uzembe kila kona.
Epuka kula junk foods na vyakula vingi vya supermarkets (vingi ni GMOs ambazo zina madhara sana kwa afya ya mwanadamu).
Tumia karanga mbichi,asali,maziwa ya mgando,matunda,mboga za majani,karoti et al. katika milo yako yote.
Epuka kula vyakula vyenye mafuta mengi (haswa vyenye mafuta ya kutokana na wanyama). Ukiweza tumia sunflower oil na vizuri kabisa,tumia olive oil.
Epuka kula read meat sana,nyama ya ng'ombe na mbuzi sana. Ni heri nyama nyekundu ya pori kuliko hizo. Tumia white meat kama mbadala. Ila husiendekeze sana nyama hata hiyo nyeupe!
La msingi zaidi fanya mazoezi (ukiweza kila siku,angalau kwa nusu saa). Unaweza fanya aidha asubuhi kabla ya kwenda kwenye mihangaiko au jioni baada ya kutoka kwenye mihangaiko.
Naelewa watu wa DSM watasema hawana muda kutokana na kuamka kwao saa 10 za usiku kuwahi foleni,na kurudi nyumbani saa 4 za usiku kutokana na foleni.
Sawa,lakini kuna jumamosi na jumapili,ukitenga muda wa saa moja na nusu kwa jumamosi na jumapili,inakua umefanya mazoezi ya masaa 3 kwa juma ambayo si mbaya kwa afya ya mwanaume.
Pia ukiwa kwenye mihangaiko,badili aina ya maisha unayoishi. Mfano,tumia ngazi badala ya lift;tembea kwa miguu badala ya kutumia gari kwa sehemu ambayo ni rahisi na fupi kwenda kwa miguu;tumia maji sana kama kinywaji badala ya soda na bia.
Ukifanya hakika heshima yako kwa mkeo lazima irudi.
Well kama una mme wa hivo uliyataka mwenyewe.
Lazima ulipo kutana nae ulijua anafanya yote hayo.
It's worse kama kayaanza mkiwa wote maana wewe ndo utakua sababu.
So,it always start with you ladies.
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,....(kwenye nyumba weka mme)
na mwanamke mpumbavu huivunja mwenyewe.
Unaogopa nini binti vitendea kazi si vipo bana,iyo ya kukaa miezi kadhaa bila ku duu kama ni mimi ingenishinda vinginevyo labda nipewe ahadi kabisa kwamba mzigo upo kwenye box haujawahi kufunguliwa naweza nikawa na subira kwasababu albamu nitazindua mimi
Tatizo lenu : mnakula hovyo,mnakunywa kupitiliza alafu mnabweteka.
Miili imevimba na kulegea kama milenda, minyama uzembe kila kona.