Tufanye jee kurudisha hadhi ya kiume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufanye jee kurudisha hadhi ya kiume?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Muggssy, Feb 4, 2012.

 1. M

  Muggssy Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimefanya utafiti kuhusu wanawake wengi kwende inje ya mahusiano/ ku cheat waume zao ni kagundua kwamba sababu kubwa ni kukosa sexual satisfaction ingawaje hua hawasemi, lakini hilo ni tatizo kubwa kwa wanaume wa leo na nadhani inatokana zaidi na aina ya vyakula ambavyo tuna kula.

  Mtu kashindia chips mayai siku nzima akitoka kazin ana shushia beer nne akifika home ubwabwa maharage na baada ya hapo the big game inaanza round mbili tu hoi bin taban. Wakati mwanamke ndo kwanza anaanza kuwa stimulated at times wengine wana ejaculate bila mwanamke kujua anashanga tu jaama kanywea na kuulizwa umemaliza na bila aibu na jama anajibu ndio.

  Wakati babu zetu wlikuaga bala kweli kweli kutokana na vyakula ulivyokua wanakula (mfano fresh fruits kwa wingi bila preservatives kutoka kwenye miiti direct) sasa wenzagu tufanye jee kurudisha Hadhi ya kiume?

  Pia naomba mwenye uelewa zaidi atuahinishie vyakula specifically vya kula illi turudishe hadhi ya kiume Karibuni tujadili
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Wanaume wengi sasa hivi ni suruali tu....am sorry, tunaabika sometimes!!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo lenu : mnakula hovyo,mnakunywa kupitiliza alafu mnabweteka.

  Miili imevimba na kulegea kama milenda, minyama uzembe kila kona.
   
 4. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ooh halle baba, lord ganisha serve us
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kweli wanaume wengi wa siku hizi wametuna tuna ovyo..kutwa nyamaz, beer na kwenye magari hata jogging hawawezi. Matumbo makubwaa!
   
 6. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  mtu ana kitambi kikubwa tu halaf ni kijana...jamani wananikera sana,pia kula ovyo michemsho,noa na bia....mazoezi hakuna,unategemea nini??hata kukimbia inakushinda mwanaume????
   
 7. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Lakini mimi nawalaumu wanawake zao, kwanini usimkumbushe mume wako akafanye mazoezi???
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Huyo mume anarudi saa ngapi nyumbani, akitoka job anapitia kuonana na washkaji kwenye vijiwe vyenu akitoka hapo jajishibia minyama na biaz. Anafika nyumbani ni kukoroma, ameamka asubuhi kawahi kazini. Weekends ndiyo usiseme mipira na washkaji kwenye ratiba hawakosekani..Eeew ile miili ya wanaume wa siku hizi inakera!
  Halafu huwezi kufanya mazoezi kama huzingatii unachokula. ni kazi bure!
   
 9. M

  Muggssy Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kimsingi kwa jins nilivyo kuelewa Lizzy unakubali kwamba hili ni tatizo sasa wewe binafs unapataga courage kumwabia jama yako kwamba bwana naona mapigo yako hayako sawa au una ka kimya tu naku ignore maana tatizo naloliona mimi ni kwamba wanawake pia are part of the problem mnatakiwa muwe open kwa jaama zenu kuliko ku pretend muko satisfied kumbe sio
   
 10. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Epuka kula junk foods na vyakula vingi vya supermarkets (vingi ni GMOs ambazo zina madhara sana kwa afya ya mwanadamu).

  Tumia karanga mbichi,asali,maziwa ya mgando,matunda,mboga za majani,karoti et al. katika milo yako yote.

  Epuka kula vyakula vyenye mafuta mengi (haswa vyenye mafuta ya kutokana na wanyama). Ukiweza tumia sunflower oil na vizuri kabisa,tumia olive oil.

  Epuka kula read meat sana,nyama ya ng'ombe na mbuzi sana. Ni heri nyama nyekundu ya pori kuliko hizo. Tumia white meat kama mbadala. Ila husiendekeze sana nyama hata hiyo nyeupe!

  La msingi zaidi fanya mazoezi (ukiweza kila siku,angalau kwa nusu saa). Unaweza fanya aidha asubuhi kabla ya kwenda kwenye mihangaiko au jioni baada ya kutoka kwenye mihangaiko.
  Naelewa watu wa DSM watasema hawana muda kutokana na kuamka kwao saa 10 za usiku kuwahi foleni,na kurudi nyumbani saa 4 za usiku kutokana na foleni.
  Sawa,lakini kuna jumamosi na jumapili,ukitenga muda wa saa moja na nusu kwa jumamosi na jumapili,inakua umefanya mazoezi ya masaa 3 kwa juma ambayo si mbaya kwa afya ya mwanaume.
  Pia ukiwa kwenye mihangaiko,badili aina ya maisha unayoishi. Mfano,tumia ngazi badala ya lift;tembea kwa miguu badala ya kutumia gari kwa sehemu ambayo ni rahisi na fupi kwenda kwa miguu;tumia maji sana kama kinywaji badala ya soda na bia.

  Ukifanya hakika heshima yako kwa mkeo lazima irudi.
   
 11. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Ungeenda ndani zaidi Lizzy, kwa kutaja ugonjwa wa kisukari na shinikizo kubwa la damu. Wanaume wa leo ni vivuli tu, hakuna mazoezi, kula na kukamata remote kwenye kochi basi. Na mahusiano yetu na watu wengine hasa wanawake ni ubabeubabe na uonevu tu na watoto wetu wanaiga. Tufanyeje? Tutunze afya zetu kwakula vyakula fresh na vya asili zaidi. Hii mifuko tunayojaza kwenye masupamaket ni sumu tupu! Baada ya hapo tuifundishe jamii heshima na upendo kwa kuonyesha mfano wa upendo na heshima. Pia wake zetu watusaidie na kushirikiana nasi katika kuimarisha mahusiano ya heshima, upendo na utu. Na kwenye vyumba vyetu vya kulala wenzetu wazingatie lile somo la Lizzy "Bad Girls are Sexy" Kwa hoyo, tutafika mbali.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Atamkumbusha saa ngapi?
   
 13. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280

  Kuna kasumba na mtazamo kwamba mwanaume akiwa na kitambi inaonyesha ana uwezo wa kipesa!
  Yaani hiyo kasumba imeharibu vijana wengi sana,nao wanatafuta vitambi kwa namna yoyote ile ili waonekane mapedezye!

  Kwa wenzetu mtu akiwa na kitambi (obese) ni dalili ya ulofa utokanao na kula vyakula vya bei rahisi (junkies) n.k.
   
 14. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Hata wakiwa kitandani kama bado wanalala pamoja.
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bahati nzuri sijawahi kuhitaji kumkumbusha mtu swala la mazoezi. . .

  Ila hawa tunaowaongelea wengi wao hata mawasiliano na wake zao yanasua sua, mwanamke nae pengine hana nafuu. . .sasa atamshauri vipi mwenzake ilhali nae ni wale wale? Mtu mvivu hata kutembea tu anaona tabu, unless anawahi bar utamsaidiaje? Kama kunenepeana kama kitifaya mtu anaona sifa utamsaidiaje?

  Mazoezi ili mtu a-stick nayo muhimu mhusika mwenyewe aone kwamba anahitaji ama apende. Zaidi ya hapo hata ukifanikiwa kumfanya aanze, atafanya mara tatu alafu ndio basi tena maana ataona ni kazi sana kwasababu yeye hataki/haoni anahitaji. Inabidi tuanze kufundisha watoto wetu hii tangu wadogo ili hata wasipofanya kwa kupenda wafanye kwa mazoea.
   
 16. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Hadhi yangu kama mwanaume iko pale pale; labda mniruhusu niwape life style yangu - lakini kwa ufupi ni kama ifuatavyo:-
  Sipendi kutumia madawa ya vidonge / sylup wana nini - napendelea kutumia miti shamba pale ninapojisikia afya yangu ina mgogoro.
  Vyakula natumia vya asili - ukorofi wangu home ni kukutana mboga yenye mafuta mengi.
  Kama niko safarini naogopa sana kutumia samaki / nyama n.k kwani vyakula hivi waweza kukutana na vyakula vyenye sumu - napendelea dagaa, mbogamboga, au maziwa mgando kwa ugali (sio ugali wa sembe) mwekundu au ulochanganywa na udaga.
  Weekend naenda shamba kufanya palizi mwenyewe - kama vipi naweza enda na wife kama ratiba inaruhusu.
  Baada ya kazi napenda kukaa sehemu kupata bia si zaidi ya tatu.
  Muda mwingi nikiwa kazini napenda sana kunywa maji. Sometimes huwa natafuna karanga mbichi.

  Kwa mpangilio huo nakuwa active kwenye jukumu la kule pahala.
   
 17. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280

  Tena hii nayo ni kasumba siku hizi.
  Eti siku hizi kwenda pale jiji la Mlimani,kuingia Shoprite na kutoka ni mifuko imejaa hadi kufura ni ujanja!!
  Tena la ajabu,mtu anakaa pale Savei,Sinza Makaburini au Lufungila,kwenda tu pale supermarket anakokota gari lake na kwenda kubeba hizo takataka ambazo zinazidi kulendemsha mwili wake!
   
 18. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  tatizo sio vyakula au kuwa na mwili mkubwa, hapo ndo wengi tunakosea. si mpaka umwingilie mwanamke Mara 5 ndo anaejoi... trust me guys, unaweza ata usimwingilie mwanamke then akawa satisfied mo thn ambavyo mngefanya Mara 10.

  sababu ya wanaume kushidwa kuwa satisfy grls inatokana na most of boys washindwa kuwaandaa wapenzi wao, for what i kno, before ujamwingilia mwanamke inatakiwa awe amekutangulia mo thn three tymz ata the moment unamwingilia ata ukisema usipate bao she will be happy and trust me, kesho atakuja anataka tena.

  mapenzi sio mashindano eti umpandie mwenzio Mara 7 ndo ujione kidume, na unaweza panda ata Mara kumi na hakuna ilichofanya. just be creative and make sure unajua mapenzi wako anataka nini...

  NB: uwezi kufanya mapenzi na msichana wa mtaani thn ukapiga ata bao 2, most of the tym ukipata kamoja shida yako inakua imeisha na unajuta ata kwanini ulifanya, tafuta mtu unayempenda, tulia nae then utanambia. ndo mawazo yangu yameishia hapo.
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Si wanakaa wote?
  Halafu miiili sio tatizo,shida ni kwamba huyo mwanamke ni wangu so hata asipotosheka hakuna aibu ila kwa fikra zangu perfomance ya walioko kwenye ndoa wengi wao ni Low ukilinganisha na wanaokutana wakiwa si wanandoa...namaanisha nyumba ndogo utakuta perfomance iko juu balaa lakini kwa mke inashuka ingawa pia kuna sababu kadhaa za status ya mahusiano yao.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahaha. . Hygea sio nyie wanaume ndo mnapenda kulalia nyama choma na bia alafu wali wa samaki nyumbani mnaona sio kitu? Binafsi nasikitika sana kuona watu wanakimbia vyakula vizuri na fresh vyote tulivyobahatika kuwa navyo alafu wanajaza vitu visivyo vizuri sana kwa afya ya mwili. Yani mimi ningeweza ningekua nakula mboga za majani asubuhi, mchana na jioni. Kitu ambacho wengi hawataki, wao ni nyama, nyama, nyama tuu basi.

  Nyie wanaume nanyi kuweni responsible. . .
  Kama tatizo ni chakula cha nyumbani hakinogi basi ongea na mkeo aboreshe mapishi yake, omba upikiwe vyakula (vya maana) upendavyo na ujitahidi kuwa hata unatembea kidogo mida ya jioni. Unaweza ukafanya iwe family activity, mama na watoto wote mnaungana. Kama mna kauwanja kenu chezeni hata mpira na watoto wenu.

  Sema hayo hapo juu yanahusu yu iwapo wewe ni mtu wa familia, kama hupendi kutumia muda na familia yako endelea tu kujaza nyama/ndizi kavu na ngumu pia machips yaliyojaa mafuta tumboni day in day out. Matokeo yake utayaona soon enough.

  Hehehe ndio na somo linahusu, yale nayo ni mazoezi!!
   
Loading...