Unyevu nyevu
Member
- Oct 30, 2013
- 18
- 4
Hahaha daaah mkuu kama tunalala na bundi vile tulivyo na gundu!
Mh!
Wewe ni @st.paka mweusi?
Au mathematics?
Last edited by a moderator:
Hahaha daaah mkuu kama tunalala na bundi vile tulivyo na gundu!
Unyevu nyevu hiyo ID yako kali aisee......hao ni members humu na wala hawana undugu na huyo jamaa...
Anakufananisha na members St. Paka Mweusi na mathematics.
nimeipenda id yaaako.... but donlucchese is another person:A S 2152:
na mimi nakufananisha na St. Paka Mweupe, teh teh teh:smile-big:
Ha ha haaa ngoja aseme mwenyewe.
Yaani nilinyang'anywa hivihivi tonge mdomoni na mapedeshee ya humu chit chat............. donlucchese ukipata inabidi uweke ulinzi shiriki.......
Yaani nilinyang'anywa hivihivi tonge mdomoni na mapedeshee ya humu chit chat............. donlucchese ukipata inabidi uweke ulinzi shiriki.......
Ni kweli, tatizo unkwenda gym body ivutie warembo...hayo mazoezi unaenda kuajiriwa club or..mademu sikuizi uwe na mkwanja.
Hahahaah! Hata ukiwa na mkwanja akiibuka mwenye mkwanja zaidi yako unapigwa chini vilevile.Ni kweli, tatizo unkwenda gym body ivutie warembo...hayo mazoezi unaenda kuajiriwa club or..mademu sikuizi uwe na mkwanja.