Tufahamiane vibisa wa Chit Chat....!!!

Tufahamiane vibisa wa Chit Chat....!!!

Hahahaaa hivi waganga wanasaidia? Zaman tulikuwa tunaambiwa ukikaanga mkia wa goromondo ule unga unga unampaka, au unamrushia demu eti lazma akupe mzigo, utoto bana.
Cc Katavi

Hahaha, mi nliambiwa kuna dawa ya kimasai inaitwa Katongoro, hiyo yaani ukiitafuna halafu ukam-mention tu mtu kwa mfano Heaven on earth huko huko aliko mambo yanakua mambo. Unashangaa tu ghafla pm shimo limetema mtoto anakwambia sixgates naomba namba yako.lol
 
Last edited by a moderator:
Naomba sana, mashavu wanapewa wengine,
Wengine wananishauri sijui niende kwa mganga pengine!

nenda getini pale kwenye lango la JF kuna ma sistaduu na mabrazameni wanaingiaga kila siku, ukivutiwa na duu mmoja we mshike mkono mvalishe pete hapohapo
 
Hahaha, mi nliambiwa kuna dawa ya kimasai inaitwa Katongoro, hiyo yaani ukiitafuna halafu ukam-mention tu mtu kwa mfano Heaven on earth huko huko aliko mambo yanakua mambo. Unashangaa tu ghafla pm shimo limetema mtoto anakwambia sixgates naomba namba yako.lol

Wamasai bana, waongo sana na dawa zao
 
Last edited by a moderator:
nenda getini pale kwenye lango la JF kuna ma sistaduu na mabrazameni wanaingiaga kila siku, ukivutiwa na duu mmoja we mshike mkono mvalishe pete hapohapo
Ha ha ha haaah!! Mimi tangu nimejiunga humu JF nipo pale getini kama mlinzi lakini sijafanikiwa,,,,,,,,,kweli hizi ishu zina wenyewe.
 
Hahaha, mi nliambiwa kuna dawa ya kimasai inaitwa Katongoro, hiyo yaani ukiitafuna halafu ukam-mention tu mtu kwa mfano Heaven on earth huko huko aliko mambo yanakua mambo. Unashangaa tu ghafla pm shimo limetema mtoto anakwambia sixgates naomba namba yako.lol

Ha ha ha haaah!! Sisi kulikuwa na dawa za ajabuajabu na tulizitumia sana,,,,,,tukiwauliza wakubwa mbona hazifanyi kazi kama wanavyozinadi wanadai eti tukikuwa zitafanya kazi,,,,,
 
sixgates nimejitahidi sana humu lakini kuna vikwazo kibao,,,,,,ngoja nianze kijipendekeza kwa Arushaone huenda nyota yangu itang'ara.

Hahah sema anaumwa ujue, huu ndio wakati sasa wakupeleka maepo machungwa flani mixer maembe na mitori ya kutosha. Ma get-well soon card nini, hapo utajisafishia njia!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaah!! Sisi kulikuwa na dawa za ajabuajabu na tulizitumia sana,,,,,,tukiwauliza wakubwa mbona hazifanyi kazi kama wanavyozinadi wanadai eti tukikuwa zitafanya kazi,,,,,

Ahahahahahahahahahahahahah!
 
Ha ha ha haaah!! Mimi tangu nimejiunga humu JF nipo pale getini kama mlinzi lakini sijafanikiwa,,,,,,,,,kweli hizi ishu zina wenyewe.

Hahahah wengine tuna vismati vya paka kupendwa na wachawi!
 
Hahah sema anaumwa ujue, huu ndio wakati sasa wakupeleka maepo machungwa flani mixer maembe na mitori ya kutosha. Ma get-well soon card nini, hapo utajisafishia njia!

Yap.....ukimfanyia hivi siku hiyohiyo anakutafutia au anakukabidhi koloni lake mojawapo maana Arushaone ni kama King Mswati
 
Last edited by a moderator:
Yap.....ukimfanyia hivi siku hiyohiyo anakutafutia au anakukabidhi koloni lake mojawapo maana Arushaone ni kama King Mswati

Jamaa ana makoloni kibao siju ni mjerumani?
 
Last edited by a moderator:
H aaahahahaaah!! Na mimi kule jukwaa la utambulisho,,,,,,,huku chit chat kuna wenyewe.

Hahaha mkuu yako kali, kule utambulisho? hahah, ilikkua unatega makoloni mapya nin?
 
Hahahahaaah!! Kule wala haisaidii kupata makoloni mapya hahahaaah!!

Kule si ndio ma new comer? Ni kama unavyoanza form 5 jinsi mablaza wa form 6 wanavyowakamatia watoto wa form 5 af nawenyewe wanafurahi kua na wakubwa wa shule.
 
Back
Top Bottom