Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
umekumbuka wapi Honey Faith?
Ilikuwa haruc ya uncle wangu basi ikifikia pale isunda sunda kitu km hicho mnavyorudi nyuma nyuma duh hadi raha
Last edited by a moderator:
umekumbuka wapi Honey Faith?
Jamii ya humu huwa naipita tu kumbe mwenyekiti ni erick52 hongera zake kwa majukumu mazito
Ilikuwa haruc ya uncle wangu basi ikifikia pale isunda sunda kitu km hicho mnavyorudi nyuma nyuma duh hadi raha
hehehe wa Maswa aisee ila ninamiaka ya kutosha sijatia miguu huko
Hata mimi, twety something years!
Ulituma ombi ili mwenyekiti akutongozee?
hahahaaa utakuwa unanifananisha na sister Benadeta wa Sayusayu mission nini?
kama ivo yani
basi ndio mie, ila
mwenzio yalinishinda nikamwaga manyanga na dini nikabadilisha now
nimeokoka
si mbaya...bado uko mulemule chini ya mwana wa mungu
Kaka kaizer za siku kaka
Aisee nipo kijana wanu haabri za masiku ulipotelea wapi?
Mimi wangu anajijua!!