Tuendelee kufurahia.....!!!

Tuendelee kufurahia.....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Nashkuru sana kwaajili ya hii package ya net kiukweli inasaidia sana
IMG_20210301_095221.jpg
 
Umepewa GB na dakika zote hizo kwa kupiga code gani
 
Kwa bahati mbaya hizo GB unazoonyesha naweza kuzimaliza kwa siku moja, na hizo GB za social media kwangu hata hazina maana.

Dah! Hivi lini nitaweza kuvuta Fibre hadi kwangu huku(pasipo ushuani mfano: Masaki, Upanga n. K) niepukane na haya mateso.
 
Back
Top Bottom