Mtu wa Kigamboni
Member
- Jul 24, 2015
- 80
- 38
Wenye utaalam wa kilimo cha pilipili naomba mnipe elimu ya kuendesha kilimo hiki kwenye Bustani.
Nna pilipili manga nyingi sana so mwenye huitaji au kujua soko plz tuwasiliane kwa 0712720080.
Unauza bei gani kwa kilo moja na unapatikana wapi mkuu?
Pic
Be serious.
Wataalamu msaada unahitajika...!Wenye utaalam wa kilimo cha pilipili naomba mnipe elimu ya kuendesha kilimo hiki kwenye Bustani.
Loooh kweli we mchaga na huku kumbe unapitagamkuu asante kwa somo nikikuwa hata sina idea
sasa unategemea napata wapi idea za mapesa mkuu? lazima nipiteLoooh kweli we mchaga na huku kumbe unapitaga