Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,100
Mkuu sitakataa kwamba na Mange amepost, lakini ingia youtube uone... Mimi niliona mwaka Jana hicho kiwanda kwa youtube bt sikujua Kama sisi ni victims.Sema tu wazi umetoa kwa Mange
Ata mimi sikujua kama ushafika huku... Ivi mtu anadanganyikaje na mchele feki? Nchi za wenzetu michele yao haina ladha wala harufu ila kwa michele yetu ya Tanzania utakulaje wali hauna ladha wqla harufu?Mkuu sitakataa kwamba na Mange amepost, lakini ingia youtube uone... Mimi niliona mwaka Jana hicho kiwanda kwa youtube bt sikujua Kama sisi ni victims.
Kwa kuona kwa mange imenifanya nihoji kwa faida ya Wengi! he kuna njia ya utambuzi???
kuna watu wananunua hadi vitunguu supermarket mchele ananunua eti umetoka japan unakula mchele wa japan au paktan kwani hapa bongo umeisha? acha waipateAta mimi sikujua kama ushafika huku... Ivi mtu anadanganyikaje na mchele feki? Nchi za wenzetu michele yao haina ladha wala harufu ila kwa michele yetu ya Tanzania utakulaje wali hauna ladha wqla harufu?
Mimi ndo maana sipendi michele ya nje kabisa!!! Mwendo wa mchele wa Mbeya...
Mkuu kwa hiyo ni harufu tu..... Unajua wachuuzi ni wehu... Watatengeneza perfume ya mchele wa Mbeya ili kukupata.... Hakuna njia ya kitaalamu kukagua Kama huu mchele ni halali??Ata mimi sikujua kama ushafika huku... Ivi mtu anadanganyikaje na mchele feki? Nchi za wenzetu michele yao haina ladha wala harufu ila kwa michele yetu ya Tanzania utakulaje wali hauna ladha wqla harufu?
Mimi ndo maana sipendi michele ya nje kabisa!!! Mwendo wa mchele wa Mbeya...
Hehe wakati nyanya za gengeni ndiyo fresh eti anaacha kuku wa kienyeji gengeni tena na huduma ya kuchinjiwa juu anakwenda kununua kuku wakiochomwa sindano supermarketkuna watu wananunua hadi vitunguu supermarket mchele ananunua eti umetoka japan unakula mchele wa japan au paktan kwani hapa bongo umeisha? acha waipate
Ndo hapo sasa!!!kuna watu wananunua hadi vitunguu supermarket mchele ananunua eti umetoka japan unakula mchele wa japan au paktan kwani hapa bongo umeisha? acha waipate
Jamani, plastiki inatafunika? Michele yetu ukitafuna si hnatafunika?Mkuu kwa hiyo ni harufu tu..... Unajua wachuuzi ni wehu... Watatengeneza perfume ya mchele wa Mbeya ili kukupata.... Hakuna njia ya kitaalamu kukagua Kama huu mchele ni halali??
Salam,
Waungwana nimeona kuna videos na maandiko mbalimbali yakizunguka katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu aina mpya ya mchele iliyoingia sokoni ambayo ni bidhaa inayozalishwa kutokana na plastic. Hapa niwe muwazi zaidi kwamba ninapozungumzia plastic ninamaanisha mifuko almaarufu rambo.
Baadhi ya walaji toka sehemu mbalimbali duniani wameonekana wakifanya majaribio kwa kudundisha kitonge cha wali ambacho kilidunda Kama kitenesi... Badala ya kuchanguka Kama tabia ya wali ilivyo.
Sasa,
Kwa kuangalia mazingira ya kila siku na namna ya utafutaji ya maisha ya mtanzania, Nadhani ninaweza kuwa victim kwenye hili ka mchele wa plastic. Kama sikuwahi kula kwa kutokujua basi nitakula kwa kutokujua siku za usoni.
Msaada,
Je kuna namna ya kitaalamu au ya kienyeji kutambua mchele Kama ni wa plastic au la ukiwa bado upo dukani??? Kwa wajuzi tusaidiane.
ukisema kwenye ladha utachemka coz mapishi yanatofautiana kwa mfano kuna baadhi unachemsha na maji mengi ukiiva unamwaga maji unabaki kawaida/testless na c michele yote ina harufu mingine ni harufu za magunia otherwise uwe mtaalam sanaAta mimi sikujua kama ushafika huku... Ivi mtu anadanganyikaje na mchele feki? Nchi za wenzetu michele yao haina ladha wala harufu ila kwa michele yetu ya Tanzania utakulaje wali hauna ladha wqla harufu?
Mimi ndo maana sipendi michele ya nje kabisa!!! Mwendo wa mchele wa Mbeya...
Mkuu, unataka ujue madhara ya kula mifuko ya Rambo.... Mbona Kama lipo wazi sana hili.Mmmh twafa. Tuambieni na madhara yake tafadhali
Kwa faida ya wengi tukumbushane tuMkuu, unataka ujue madhara ya kula mifuko ya Rambo.... Mbona Kama lipo wazi sana hili.