TUCTA wapinga UKUTA

TUCTA wapinga UKUTA

Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.

Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga

Mgaya ni mpuuzi, UKUTA haimhusu, ameshindwa kuwatetea wafanyakazi mpaka leo kima cha chini hakimalizi wiki kwa mfanyakazi, halafu bila aibu linakuja kubwabwaja hapa mambo ya UKUTA!
 
Mgaya mnafiki sana huyu mzee ameshindwa kusimamia haki za wafanyakazi kazi anajiingiza tena kwenye siasa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Viongozi wa TUCTA mambo ya UKUTA hayawahusu, teteeni wafanyakszi maana wengi wanaishi kwenye nyumba mbaya kuliko mabanda ya kufugia kuku. Mishahara yao midogo kuliko pocket money mnazowapa watoto wenu wakatumie shuleni.
 
Huyu mtu betri imeshaisha chaji nashangaa wafanyakazi wanamuacha tu au hakuna wa kumfunga paka kengele...toka lini mwana ccm kama Mgaya akaunga UKUTA
 
what is the hell so called TUCTA???
We're standing on own feet to fight against Autocratic system towards Democratic system for majority.
And we don't want hypocratic support.
 
UKUTA ulianza kupingwa kwa vitisho na Magufuli lakini haiwezekani UKUTA uko imara mpaka siku utakapozinduliwa rasmi na kuanza kuilinda katiba na sheria za nchi yetu,ikiwa magufuli ndio baba na ndio mama japo hana matiti waandaji wa UKUTA hawakumsikiliza itakuwa hawa vindunduguli hata kwenye vitukuu hawapo?
#NikoTayariKwaUKUTA sep 1.
 
Mgaya ni mchumia tumbo....yaani unashindwa kuelewa mtu kama huyu anapewa dhamana ya kuongoza chombo kama TUCTA kwa akili gani? Yaani mtu hata hajui nini wafanyakazi wake wanataka....lenyewe eti hatuungi mkono ukuta...hivi anadhani wafanyakazi wa tanzania wanaishi sayari gani? Yaani mtu mzima halafu unakubali kutumika kama ile kitu ya kuvalisha kichwa cha pili dah...so sad!
 
Iliwahoji kama wanaunga mkono au??
Mkuu Lukesam, uko sahihi, kuna maswali mengine huulizwa kwa ajili ya habari hayastahili kuulizwa. Anyway, angalau tumeambiwa Mgaya alihojiwa na TBC 1, inawezekana "wali-set agenda"! Ni upuuzi kwa mwandishi wa habari kwenda kuwahoji TUCTA kama wanaunga mkono/watashiriki UKUTA au la?
 
Hapo juu chinchilla coat ameniambia inawezekana aliambiwa aseme chochote cha kuipondea UKUTA mbele..

Inawezekana ndivyo ilivyokuwa mkuu..
 
yani hao wasenge TUCTA wameshindwa kutetea maslahi ya wafanyakazi wanakuja kupinga ukuta.pumbavu zao tena wanyamaze kabisa.
 
Huyu si ndio alitakiwa atumbuliwe mapema na wafanyakazi wenyewe?maana haieleweki anachokisimamia
Tatizo ni shule. Mkuu hili nitatizo kubwa la jamii yetu. Huyu jamaa anashule ndogo sana. Ni baharia tu ambaye ana elimu ndogo mno. Ndo maana unaona hana weledi wowote.
 
Nimwendo wa kupinga UKUTA
Hii safi
1471981808084.jpg
 
maslahi gani wanayotetea zaidi ya kutafuna michango ya wafanyakazi, watu wanafukuzwa ovyo, mishahara haipandi kuendana na maisha hawatoi tamko, mambo yasiyowahusu ndo vimbele front. upuuzi mtupu
 
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini limesema haliungi mkono UKUTA, katibu mkuu wa TUCTA Nikolaus Mgaya amesema wao hawajihusisha na siasa kwa ni kazi yao ni kutetea maslahi ya wafanyakazi.

Amesema kuna wanachama wa upinzani na CCM waliopo TUCTA lakini wao hawataunga mkono UKUTA
Akizungumzia suala la kuhamia Dodoma amesema yawezekana hakuna majengo ya kutosha kweli lakini watabanana huko huko ili wapate akili za kujenga

ndio maana wafanyakazi Tanzania wana danganywa danganywa wala hawajui haki zao
 
Back
Top Bottom