TUCTA wapinga UKUTA

TUCTA wapinga UKUTA

Kwani nani amemwambia TUCTA inahitajika kwenye UKUTA?

Anasema wao hawajihusishi na siasa, sasa habari za UKUTA zinamhusu nini?

Akae mbali na unafiki wake. Mambo ya wafanyakazi yamemshinda, ataweza hayo mengine? hadi leo wafanyakazi kibao 'wameachishwa kazi' kwa kauli ya Rais hatujamsikia akisema chochote.

Mipovu imemtoka kama ameulizwa vile...
Mambo ya wafanya kazi na kero zao zimemshinda, matokeo yake kaja kukurupukia huku
 
Back
Top Bottom