TUCTA in new strike ultimatum

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
TUCTA in new strike ultimatum

By Staff writer

6th June 2010

TUCTAPRESIDENT(3).jpg

TUCTA president Omari Ayoub

The Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) has issued a seven-day ultimatum to the government to issue its stand on workers’ minimum salary increment, threatening industrial action if a response is not forthcoming.

The order is contained in the trade union’s Workers Council’s resolutions reached at its emergency meeting held in Dar es Salaam yesterday.

The trade union also vowed to take court action against Minister for Labour, Employment and Youth Development Prof Juma Kapuya for disrupting the notice on salary increment during his press conference on April 30 this year.

At the press conference, Prof Kapuya disrupted the notice on minimum wage issued by his predecessor, John Chiligati in 2007.

The seven-day ultimatum was, however, directed to the Minister of State in the President’s Office (Public Service Management) Hawa Ghasia.

Addressing the press after the Workers’ Council yesterday, TUCTA president Omari Ayoub said the trade union would continue protecting workers’ rights, including safeguarding their interests.

“We give the minister seven days with effect from Monday up to June 14 to tell workers about the government stand on minimum wage. If she defies the ultimatum, we will have no choice other resolving to holding a nationwide strike,” he said.

Ayoub quoted the country’s constitution, saying the mother law bestows upon every citizen the right to employment, adding that every working individual had the right to proper pay.

He said the Council analysed the speech given by President Jakaya Kikwete when addressing Dar es Salaam regional elders recently. He said the delegates were not comfortable with the president’s speech.

There has a been a longstanding workers’ outcry over poor pay, unproportional income tax slashed from the salaries and poor terminal benefits offered by the pension funds upon workers’ retirement.

Ayoub said it was unfair for the president to use threatening and demeaning language upon TUCTA leaders and the entire working cadre.

“The Council would like to inform the president that the language he employed was improper because TUCTA leaders are individuals elected to the posts legally,” he said.

He said President Kikwete did not treat TUCTA secretary general Nicholaus Mgaya fairly since whatever was said or done by him (Mgaya) had all the blessings of TUCTA.

“The president treated Mgaya as if the demands made by him were personal,” he added. Apart from demanding for better terminal benefits and reduction of taxes slapped on salaries TUCTA has been demanding that workers’ minimum wage be raised to sh315,000.

In April, the President lambasted TUCTA leaders, saying their demands were hard to implement due to the small financial capacity of the government.

Instead, the president appealed to the Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) to go back to the negotiating table as the best strategy for solving the long- standing workers’ demands.

President Kikwete also assured all workers that his government was fully committed to improving workers’ welfare, not only by raising their wages, but also through introduction of a legal framework that protects the interests and rights of employees.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 
A very strong speech! Hii wangeitoa siku zile baada tu ya JK kuhutubia...
 
Longo Longo zile zile hakuna lolote..Maneno ya nini jamani si wafanye vitendo?kila siku porojo nimechoka..Sioni jipya!
 
A very strong speech! Hii wangeitoa siku zile baada tu ya JK kuhutubia...

Nakuunga mkono Mkandara...lakini ilibidi wakae chini kwanza na kutafakari upya namna ya kusonga mbele katika mgogoro huu.
 
Mi nadhani hatua madhubuti ya kuchukua ni kama vyama vya wafanyakazi katika nchi zingine, haswa nchi zenye viwanda vingi duniani

TUCTA wanatakiwa waweke msimamo kuwa kama serikali (ya CCM) haitarekebisha mishahara ya wafanyakazi basi wanachama hawataipigia CCM kura kwenye uchaguzi ujao.

Huo ndio msimamo. Halafu sasa inatakiwa vyama vya upinzani vitumie mgogoro huu katika kampeni (si kampeni tu, pia wahakikishe wanatimiza ahadi iwapo watachaguliwa, si tena ahadi za 'maisha bora....'!)

Kwa nini CCM inabembelezwa? Au viongozi wa TUCTA wana uanachama CCM hivyo wanaogopa kukorofishana?
 
Tatizo lililopo Wafanyakazi wa Tanzania hawana umoja. Kama utakumbuka wakati Mzee Rukhsa alipokuwa Rais, uliitishwa mgomo wa Wafanyakazi nchi nzima, lakini siku ya mgomo wengi wa Wafanyakazi walienda makazini na hivyo mgomo ule haukuwa na impact kubwa kama ilivyotegemewa. Sijui safari hii mgomo huu utaishia wapi lakini pia ukumbuke kwamba Kikwete alishatoa kauli kwamba kama Wafanyakazi wa Tanzania hawatampa kura zao basi wafanye hivyo. Sasa kama wafanyakazi wa nchi nzima wanaweza kujiandaa na kutompigia kura Kikwete na Wabunge wa CCM basi kuna uwezekano kusiwepo na ushindi wa kishindo kama ule wa 2005. Tusubiri tuone sakata hili litaendelea vipi.
 
Mi nadhani hatua madhubuti ya kuchukua ni kama vyama vya wafanyakazi katika nchi zingine, haswa nchi zenye viwanda vingi duniani

TUCTA wanatakiwa waweke msimamo kuwa kama serikali (ya CCM) haitarekebisha mishahara ya wafanyakazi basi wanachama hawataipigia CCM kura kwenye uchaguzi ujao.

Huo ndio msimamo. Halafu sasa inatakiwa vyama vya upinzani vitumie mgogoro huu katika kampeni (si kampeni tu, pia wahakikishe wanatimiza ahadi iwapo watachaguliwa, si tena ahadi za 'maisha bora....'!)

Kwa nini CCM inabembelezwa? Au viongozi wa TUCTA wana uanachama CCM hivyo wanaogopa kukorofishana?[/QUOTE]

Mkuu Injinia,

Hiyo statement yako (in bold) ndio ukweli wenyewe. Hatuna vyama huru vya wafanyakazi Tanzania, hata kimoja. Hizo zote wanazozifanya ni siasa tu!!! Nasikia Mgaya ana mpango wa kugombea ubunge kwenye jimbo mojawapo wakati wa uchaguzi mkuu mwaka huu. Sasa tutarajie nini kutoka kwa kada wa CCM? Hatasimama vipi kuipinga serikali/kugoma dhidi ya serikali inayoongozwa na chama ambacho yeye ni kada wake? Changa la macho kwa wafanyakazi!!!!!

Tiba
 
JK ata watisha tena utasikia wame cancel.

Same rubbish. How many times have they threatened to strike only to back off at the last minute like frightened little kids. Just do it already!
 
Umebaki ni mchezo wa kutishana. Tucta v/s JMK nani sijui ni mbabe wa kweli. Wacha tuendelee kuangalia ligi inavyokwenda
 
Back
Top Bottom