Chibolo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 5,768
- 8,044
Roho imeniuma kwa nini uwanja haujafurika kama ilivo kawaida sio picha mzuri wallahi
Hatari sana uwanjani watu wachache sana huko juu ndio viti viko empty nafuu kwa chini ndio kuna mkusanyiko kiduchu