Mimi sio dogo!
Kesho tu natangaza nia kama mgombea binafsi.
Manake inaonesha watia nia wote wanatoka kwenye vyama vya siasa!
Mungu aliumba strong ribs kama isurance kwa wanaocheka sana!
ni jambo la busara kama unataka kutangaza nia kiongozi...nachelea tu CCM wakimpitisha Tyson atakupa vitasa vya maana mpaka ukae...kaa nae mbali ndugu!!!