rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Jamani nimejitahid kucheka nimeshindwa
mee too...!
Jamani nimejitahid kucheka nimeshindwa
Hahahahaha
Wakati Bank moja inavamiwa nikapiga 112 nikajibiwa "Karibu jeshi la Police TZ kitengo cha dharura for Kiswahili press 1 for English press 2", nikabonyeza 1 Sauti ikasema "Kwa ajali za barabarani au moto bonyeza 1 kwa ujambazi bonyeza 2".
Nikabonyeza 2, sauti ikasema "kama majambazi wana panga, rungu au visu bonyeza 1, pisto bonyeza 2, SMG bonyeza 3. AK 47 bonyeza 4, bomu bonyeza 5, Kama wanavyo vyote bonyeza 6".
Nikabonyeza 6, sauti ikasema "Ungekuwa wewe ni polisi ungeenda? Au unataka sifa ili uonekane unajua kutoa taarifa za matukio? Acha hizo kwani sisi hatuogopi kufa?
Kwanza umekosea namba hapa ni Tanesco.
Dogo siku nyingine kabla hujaleta kitu safi kama hii tu-direct wapi wanaweka insurance ya mbavu, ok?