Tucheke na mama zetu leo

Nani kama mama ??

Utajuaje kama mama ako ni mtanzania.........

-Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..?
Huyo mbongo

-Ni anapo kuachia kazi alafu anaenda na remote kazin.......usisubir kuambiwa

-nipale unapo aga kwenda kwa rafik ako kupiga story alafu anakuuliza iv Lin uyo rafik ako amewah kuja kwenu....... Huyo hajahamia bongo

Nipale anapo kuuliza kama chakula alicho kupakulia kinatosha ukisema hapana ana kwambia kapike mwenyewe...... Huyo wakwetu

Ni pale unapo wekewa nguo za Aina mbili za jumapil na zakushindia sasa jikute nunda ushindie za jumapil utajuta kwa hayo makofi.......mama huyo wahapahapa

Nipale unapo sahau kumsalimia asubuh alafu ana kusalimia yeye shkamoo.... Ohoo kaa mbali kwa mda huo..... Huyu haina haja ya kuulizia anatokea wapi

Nipale anaposinzia huku mnaangalia tv na hatak mbadilishe channel.....huyu wahapahapa......

Nipale unapo kuwa store alafu anakuita jikoni alafu anakwambia nenda kanichukilie mwiko store..... Na huyu niwaambie anatokea wapi..

Kuna Vyombo vingine anavitoa tuu wakija wageni..... Haaahaa ni mama usimuulize utaifa huyu unakosea

Ni pale unavo rud kwenu unamwambia umeshika nafasi ya pili darasan anakuuliza wa kwanza anavichwa vi wili??..... Yupo kweny list ya wamama wabongo...

Sasa unataka kujua serikali ina mkono mrefu @Dokoa nyama udakwee!!!!!!!!!
Utamuona trump kwenye mwembe .....

a tunawapenda mama zetu wakitanzania.........
.


Huyu atakuwa Mmama wa bongo movie kwani mimi Mama yangu hajawahi kuniambia haya hata siku moja, ni mke wangu tu huwa anakuwa na maneno machache uliyo andika humu so I guess katoa kwak au huko mitaani. Nikichelewa kurudi nyumbani utamsikia kakulisha nini leo? Simjibu kwani najuwa anamaanisha nani n nini lengo lake. Akiona sina jibu ananifuata chumbani na kunisachi change, akikuta hakuna utamsikia yaani baba wewe huna hata huruma, hela zote umemuachia yeye? Yaani ni full vituko....nikila na kuita watoto tule wote utamsikia, unawaitia watoto ili ukale kule? Yaani hapa sina hata hawara na sijafikiria kuwa naye kwani nampenda sana mke wangu ila vituko vyake tu ni muziki shinda Twanga Pepeta na ndicho kitakachonikimbiza kwake.
 
Pale anapokutuma sehemu na kutema mate chini anakwambia kabla ya kukauka uwe umeesharudi. Huyu usiulize pigia jibu mstari

Mwenyezi awabariki wakina Mama wote
 
Ni pale unapokuwa wa kwanza kiwilaya au kimkoa unampa taarifa anaishia kuitikia Aaha.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ni pale umefanya kosa akakushushia kichapo ile unaanza kulia kwa sauti kubwa kutafuta msaada, anaongeza kipigo mixer kufinya mapajani na mgogoni then utamsikia "UNATAKA KUNIJAZIA WATU HAPA" unajua kinachofuata pwuuu puuhh nw mwitikio inabidi ubadilike kuwa inhiii nhii iiiiiii hadi show iishe

sasa balaa kubwa kuliko la makinikia ya accacia ni pale atakapokushushia kpigo ukanyamaza kwa kuwa alishakuonya kulia utamsikia "HULII UMEKUWA SUGU EEhh" kichapo kinaendelea hadi uchange gia angani na kuanza kulia kwa sauti

ukilia=kosa
ukinyamaza=kosa
 

Daah bimkubwa wangu alikuwa mtata sana, sasa usiombe ukaenda naye ugenini alafu ukapewa kitu ule pasipo kumuangalia usoni kwamba anakupa ishara gani upokee au usipokee yaan mkirudi home ni kipigo cha sherehe utajuta kwanini uliongozana nae.
Daaa enzi hazirud jicho tu ndo linaloongea nakumbuka mam ukifany kosa utamsikia siku nikikushika hahaha na hiyo siku ukishikwa eza ukasema hajakuzaa yey jins kipigo atakachokupa utajuta
 
Walikuwa hawahangaiki kuongea ni jicho tuu akikuangalia unatoka kimya kimya na hutopata amani hata ya kucheza na watoto wenzio hapo unawaza wageni wakiondoka sijui itakuwaje
Umeonae lkn mitot ya siku hiz hata wazazi wa kizazi hiki wamesahau kutumia hii ishar ya jicho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom