Tucheke na mama zetu leo

marcus rojo

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
1,496
5,317
Nani kama mama ??

Utajuaje kama mama ako ni mtanzania.........

-Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..?
Huyo mbongo

-Ni anapo kuachia kazi alafu anaenda na remote kazin.......usisubir kuambiwa

-nipale unapo aga kwenda kwa rafik ako kupiga story alafu anakuuliza iv Lin uyo rafik ako amewah kuja kwenu....... Huyo hajahamia bongo

Nipale anapo kuuliza kama chakula alicho kupakulia kinatosha ukisema hapana ana kwambia kapike mwenyewe...... Huyo wakwetu

Ni pale unapo wekewa nguo za Aina mbili za jumapil na zakushindia sasa jikute nunda ushindie za jumapil utajuta kwa hayo makofi.......mama huyo wahapahapa

Nipale unapo sahau kumsalimia asubuh alafu ana kusalimia yeye shkamoo.... Ohoo kaa mbali kwa mda huo..... Huyu haina haja ya kuulizia anatokea wapi

Nipale anaposinzia huku mnaangalia tv na hatak mbadilishe channel.....huyu wahapahapa......

Nipale unapo kuwa store alafu anakuita jikoni alafu anakwambia nenda kanichukilie mwiko store..... Na huyu niwaambie anatokea wapi..

Kuna Vyombo vingine anavitoa tuu wakija wageni..... Haaahaa ni mama usimuulize utaifa huyu unakosea

Ni pale unavo rud kwenu unamwambia umeshika nafasi ya pili darasan anakuuliza wa kwanza anavichwa vi wili??..... Yupo kweny list ya wamama wabongo...

Sasa unataka kujua serikali ina mkono mrefu @Dokoa nyama udakwee!!!!!!!!!
Utamuona trump kwenye mwembe .....

a tunawapenda mama zetu wakitanzania.........
.
 
Ni pale mnapokuwa mnakula nawe ukadai nyama akakwambia kata mkono wako upike.....huyu hajatoka abroad, ni born in here here!

Ni pale unapotega shule na kwenda kucheza, unaporudi ili kukuokoa na kipondo cha dingi, anakunyima kula, anakuzaba vikofi viwili, na kukupa ndoo yenye makande ndani yake, akikuomba ukateke maji na uwahi kurudi.....
Huyo naye si wa kuulizia asili yake

Mama yangu kafiti kila sehemu hapo....
Nani kama mama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom