Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 270
kwa walio macho karibuni tuchati
Mzymer?
Me niko pouwer.
Lete mpya....
uncle umetumia na kilugha man kuna maneno cjaelewa by the way aunt BN amelala au mwapiga vyomboWewe nawee! Hicho kitanda kina siafu ?
Afu utakua sa'ngapi ?
Meji kusa' andama uso'lala ukaamka mapema , ukiniuliza mie nafanyaje , jibu nnalo - nakatakata minyama ya kesho.
uncle umetumia na kilugha man kuna maneno cjaelewa by the way aunt BN amelala au mwapiga vyombo
Wewe nawee! Hicho kitanda kina siafu ?
Afu utakua sa'ngapi ?
Meji kusa' andama uso'lala ukaamka mapema , ukiniuliza mie nafanyaje , jibu nnalo - nakatakata minyama ya kesho.
Panaruhusiwa hapo nije nimevaa kanzu, kofia kilemba na tasbih mkononi ?
Si nitaonekana siasa kali ?
Au kituko flani hivi?
Mwenzangu kama umevaa hvo usitie maguu,
kwani utaonekana upo against nao.
Basi in day else ukini invite naja na kivazi cha ufukweni !
Hebu badili hko ulichovaa uje.
Niko so serious.
May be labda uko Mkoa.
Bora ingekua mkoa !
I'm in Kampala currently !
Ooh my am!!
Jamani umekosa.
So sorry.
Then what can i do?
It means that currently invitetion are not my lucky today! May b days later!
Pouwa.
Let go there...!!!
I wish huo mwaliko ningeupata mm...