Kila mtu ana gari humu kasoro me na mleta uzi tunasimamia bombs za mwendokasisitaki kuamini kwenye mwendokasi upo peke yako chief au hawajauona huu uzi au hawapo JF? [emoji23]
hahahaKila mtu ana gari humu kasoro me na mleta uzi tunasimamia bombs za mwendokasi
unaelekea wapi Shunie?Me ndio nimepata sit hapa mkuu
Kweli jamanhahaha
Naelekea mbeziunaelekea wapi Shunie?
basi vizuri ni maendeleo hayo hahahaKweli jaman
Na tuseme Ameen [emoji120]basi vizuri ni maendeleo hayo hahaha
na wewe utakuwa nalo muda ukifika usijali
kwani mwendokasi zinafika mbezi?Naelekea mbezi
Ameen [emoji4]Na tuseme Ameen [emoji120]
Nikifika kimara mwisho naunga jamankwani mwendokasi zinafika mbezi?
alaa kumbe, hapo sawa...nilikuwa nafikiri zimeanza kufika mbezii [emoji1][emoji1]Nikifika kimara mwisho naunga jaman