Vipi kuhusu kodi..unaweza kukuta sababu ya viwanda vya ndani kupandisha bei ni kwasababu hiyo...Na Je,sera ya nchi hiyo inaruhusu kuimport food products.?Wakati bei ya mkate Tanzania ni kati ya shs 1000 na elfu mbili yaani US$0.4 hadi US0.9, Zimbabwe ni kati ya US$1.4 hadi US$2.4 yaani ununue mkate dar kwa shs elfu mbili ukauze Harare kwa shs elfu tano, hapa hata kama ukipakia mikate na unga wa ngano wa azam kwenye Dreamliner ukapeleka Zimbabwe inalipa tu.
Hebu Mo Dewj na Bhakresa ongozeni wawekezaji kwenda Zimbabwe kuangalia fursa za kuwekeza kwenye food industry Zimbabwe, huu ndio muda wa kuchangamkia fursa, hebu hizi Bakery zilizozagaa kila kona ya nchi sasa zifunguke na kuvuka mipaka ya nchi kusaka masoko.
Wakati sisi kila kona kuna bakery bodaboda zinapishana kusambaza mikate skonzi na maandazi kwingine ni bidhaa adimu kwanini epz tantrade wasiitishe semina za wadau wa mikate tuone namna gani tutachangamkia hizi fursa.Mkate issue, si mnaona hata huko Sudan wanataka kumpindia rais wao kisa mkate umepanda bei.
Haya ndio mambo ya kujadili kama wadau tufanye SWOT analysis, TanTrade EPZ wakae na wadau tuone namna gani tutachangamkia hili soko, tuwaite maofisa ubalozi wetu walioko katika nchi husika watueleze namna gani tutachangamkia hizo fursa, tuwatume TISS wakachunguze hali halisi ya kiuchumi na kiusalama. mfano Bhakresa akipeleka ngano yake sudan ya kusini tunampatia na wanajeshi kupitia SUMAJKT wakulinda godown zake.Kwani umejiuliza kwanini Bei iko hivyo??
Pengine gharama za uzalishaji ziko juu.
Hata ukibeba mkate toka huku
Utabeba mingapi??na nauli sh ngapi?? Gharama za kuishi je??
Hiyo elfu tatu itacava??
Biashara sio mawazo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndio mambo ya kujadili kama wadau tufanye SWOT analysis, TanTrade EPZ wakae na wadau tuone namna gani tutachangamkia hili soko, tuwaite maofisa ubalozi wetu walioko katika nchi husika watueleze namna gani tutachangamkia hizo fursa, tuwatume TISS wakachunguze hali halisi ya kiuchumi na kiusalama. mfano Bhakresa akipeleka ngano yake sudan ya kusini tunampatia na wanajeshi kupitia SUMAJKT wakulinda godown zake.
Wakati sisi kila kona kuna bakery bodaboda zinapishana kusambaza mikate skonzi na maandazi kwingine ni bidhaa adimu kwanini epz tantrade wasiitishe semina za wadau wa mikate tuone namna gani tutachangamkia hizi fursa.