Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

20160218_150928.jpg hapo ni sat 2 na zote ni pey tv
20160218_150928.jpg


NSS 12 at 57.0°E - LyngSat

Intelsat 20 at 68.5°E - LyngSat
 
Mm nahitaji fundi aje anifungie nizipate, natumia king'amuzi cha continental
Pata kingamuzi kingine, mpeg4, ambacho sio cha kampuni, hivi bei ni kati ya tsh 95,000 hadi 165,000. Inategemea ni brand ipi.

Ninavyo nicheki kwa hii namba 0717 54 57 62
 
Back
Top Bottom