Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Dola Iddy

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
1,878
2,000
UTAMU WA NGOMA INGIA UICHEZE HAYA MAMBO YANAZEESHA AKILI ILA MWANZONI YANAFURAHISHA.

UKWELI NI KWAMBA ALPHABOX NI MPEG 4 ILA HAIWEZI KUFUNGUA BAADHI YA MUFUMO ILIYOTUMIKA KUFUNGA CHANELI BAADHI EXA CONAX, VIDEOGUARD, IREDITO NK

ISIPOKUWA INAFUNGUA POWER VU, BISS KEY, TRANDBERG PEKEE

KABLA HAUJANUNUA KITU HAKIKI KAMA KITAKIDHI HITAJI LAKO.
 
Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
251
225
Hapa umeniacha kiongozi,
Unaweza kufanya udadavuzi kidogo?

Hizi EXA CONAX, VIDEOGUARD, IREDITO ni nini? Zinahusika na nini? Kwa matumizi yangu ya kawaida yanaathiri chochote?
Ina changamoto zozote kwa upande wa Local Channels za hapa Bongo?

UTAMU WA NGOMA INGIA UICHEZE HAYA MAMBO YANAZEESHA AKILI ILA MWANZONI YANAFURAHISHA.

UKWELI NI KWAMBA ALPHABOX NI MPEG 4 ILA HAIWEZI KUFUNGUA BAADHI YA MUFUMO ILIYOTUMIKA KUFUNGA CHANELI BAADHI EXA CONAX, VIDEOGUARD, IREDITO NK

ISIPOKUWA INAFUNGUA POWER VU, BISS KEY, TRANDBERG PEKEE

KABLA HAUJANUNUA KITU HAKIKI KAMA KITAKIDHI HITAJI LAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,791
2,000
Hapa umeniacha kiongozi,
Unaweza kufanya udadavuzi kidogo?

Hizi EXA CONAX, VIDEOGUARD, IREDITO ni nini? Zinahusika na nini? Kwa matumizi yangu ya kawaida yanaathiri chochote?
Ina changamoto zozote kwa upande wa Local Channels za hapa Bongo?Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo yote ni mifumo (software) ya kufunga channels za tv ili zisionwe na wasiohusika (wasio na visimbuzi husika/wasiolipia). Kwa mfano DSTV wamefunga channels zao kwa kutumia software ya Ordeto 2. Azam wanatumia Nagravision 3. Zuku wamefunga kwa kutumia Verimatrix, Startimes wanatumia Conax nk. Kila mmoja anatumia mfumo wake. Hii ina maana ukiwa na decoder ambayo si ya kampuni husika huwezi kuona hizo channels. Nadhani imeeleweka.
 
the horticulturist

JF-Expert Member
Aug 24, 2012
1,825
2,000
768d32d3d27bd5f988bddfad9081e56f.jpg
491d47100a150596acffbadb344981f5.jpg

Naombeni hii mnielezee ni nini na naweza kuitumiaje? Rafiki yangu kaileta kwenye mzigo wa mtumba sasa nimeichukua kwake ila nahisi ni decorder lakini card pia hain, naombeni mnieleweshe jinsi gani naweza iweka kwenye matumizi?
Ahsanteni sana
 
Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
251
225
Nimekuelewa vzr sana Kiongozi.
Ubarikiwe sana!
Hiyo yote ni mifumo (software) ya kufunga channels za tv ili zisionwe na wasiohusika (wasio na visimbuzi husika/wasiolipia). Kwa mfano DSTV wamefunga channels zao kwa kutumia software ya Ordeto 2. Azam wanatumia Nagravision 3. Zuku wamefunga kwa kutumia Verimatrix, Startimes wanatumia Conax nk. Kila mmoja anatumia mfumo wake. Hii ina maana ukiwa na decoder ambayo si ya kampuni husika huwezi kuona hizo channels. Nadhani imeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
skydmx

JF-Expert Member
Jun 3, 2010
227
225
Mimi nataka kujua zile channel za Beis Sport Arab Tunazipataje hapa tz/ zipo ktk Arabsat/S'hail sat na nile sat...

je zinapatikana na kwa dish la futi ngapi?

natanguliza shukurani.................
 
BENNICK

JF-Expert Member
May 2, 2013
619
1,000
UTAMU WA NGOMA INGIA UICHEZE HAYA MAMBO YANAZEESHA AKILI ILA MWANZONI YANAFURAHISHA.

UKWELI NI KWAMBA ALPHABOX NI MPEG 4 ILA HAIWEZI KUFUNGUA BAADHI YA MUFUMO ILIYOTUMIKA KUFUNGA CHANELI BAADHI EXA CONAX, VIDEOGUARD, IREDITO NK

ISIPOKUWA INAFUNGUA POWER VU, BISS KEY, TRANDBERG PEKEE

KABLA HAUJANUNUA KITU HAKIKI KAMA KITAKIDHI HITAJI LAKO.
Boss nina mpango wa kupata Hello box yenye Autoroll Powervu na BISS capability.
1.Kwa location yetu TZ ni satellite ipi au Satellite TV provider gani anaweza kuwa muhanga wa hii receiver (Ambako PowerVU na BISS ni main encryption Algorithm)
2. Je dish lipi kati ya 3 foot na 6 foot litanifaa.?
Natanguliza shukrani
 
faru joni

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
476
1,000
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,791
2,000
Mimi nataka kujua zile channel za Beis Sport Arab Tunazipataje hapa tz/ zipo ktk Arabsat/S'hail sat na nile sat...

je zinapatikana na kwa dish la futi ngapi?

natanguliza shukurani.................
Nilesat inapatikana kirahisi sana kama upo Dar. Unahitaji dish la futi 6 au 8 na LNB ya KU tu, kisha unelekeza dish 7W. Ila sidhani kama wana channels za Bein sports. Waliziondoa. Bein wapo Badr 4/6 nyuzi 26E. Ila beam yake ni ishu sana kuipata, inaishia Ethiopia
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,791
2,000
Boss nina mpango wa kupata Hello box yenye Autoroll Powervu na BISS capability.
1.Kwa location yetu TZ ni satellite ipi au Satellite TV provider gani anaweza kuwa muhanga wa hii receiver (Ambako PowerVU na BISS ni main encryption Algorithm)
2. Je dish lipi kati ya 3 foot na 6 foot litanifaa.?
Natanguliza shukrani
Channel zilizofungwa kwa BISS na PowerVU zipo Apstar 7 @76.5E, NSS12 @57E, Intelsat 20 @68.5, Intelsat 906 @64.2E nk. Hizi zote unazipata kwa C band kwa dish la futi 6 na unazifunga kwenye dish moja kwa kuzipandanisha, kwa kuwa zipo karibu karibu sana. Swali jingine
 
BENNICK

JF-Expert Member
May 2, 2013
619
1,000
Channel zilizofungwa kwa BISS na PowerVU zipo Apstar 7 @76.5E, NSS12 @57E, Intelsat 20 @68.5, Intelsat 906 @64.2E nk. Hizi zote unazipata kwa C band kwa dish la futi 6 na unazifunga kwenye dish moja kwa kuzipandanisha, kwa kuwa zipo karibu karibu sana. Swali jingine
Thanks much kiongozi.Pia nauliza bei ya dish futi 8 kwa Dar ni sh ngapi. Huku niliko nimejaribu kupita madukani naambiwa 350K kwa foot nane na 90K kwa foot 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,411
1,500
Mkuu Ku scan na kusevu upya masafa?
Nilesat inapatikana kirahisi sana kama upo Dar. Unahitaji dish la futi 6 au 8 na LNB ya KU tu, kisha unelekeza dish 7W. Ila sidhani kama wana channels za Bein sports. Waliziondoa. Bein wapo Badr 4/6 nyuzi 26E. Ila beam yake ni ishu sana kuipata, inaishia Ethiopia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,791
2,000
Thanks much kiongozi.Pia nauliza bei ya dish futi 8 kwa Dar ni sh ngapi. Huku niliko nimejaribu kupita madukani naambiwa 350K kwa foot nane na 90K kwa foot 6

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kwa Dar bezi zinaanzia 300,000, ila naweza kukuunganisha na jamaa ukapata la bei rahisi kidogo la ft8. Mpigie huyu 0714515 950. Aliniuzia moja kunako 2014 ninalo mpaka leo, gumu sana la bati.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom