Tubadilike...

Tubadilike...

Call duration:
Man to Man: 0:00:45
Man to Woman: 1:45:30
Woman to Man: 0:01:15
Tafakari chukua hatua.
TUTAFILISIKA...
Tubadilike...
Umeamua kuniandika humu kila mtu ajue?!?!Najuuuta kukufahamu..
Nimeamini maneno ya Bishanga kuwa kuwa na baba fukara haujipangii lkn baba mkwe fukara ni kujitakia.....
 
Last edited by a moderator:
Umeamua kuniandika humu kila mtu ajue?!?!Najuuuta kukufahamu..
Nimeamini maneno ya Bishanga kuwa kuwa na baba fukara haujipangii lkn baba mkwe fukara ni kujitakia.....

vipi tena baby mbona unaifanyia hivi??
 
Last edited by a moderator:
woman to woman:0:05:02.
Shostito hamna credit si unajua haja be' financed'
man to wife:0:02:15
kuuliza chakula, nimekumisi, ntachelewa kurudi, no elaboration coz akirudi ataelezea yote.
Wife to husband:0:00:20
usisahau kuja na mkate, alafu nipigie sina hela...
Husband to hawara: haendi mbaaali na above result ya man to woman.
Hayo mengine wajibu wahusika maana wapo na wameona maswali.
AND PUNGA TO PUNGA??Man to punga??Punga to Man??Elaborate pls
CC Madame B
Paloma, figganigga, Kipaji Halisi, Asprin!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom