Tubadili mtazamo: Tuitumie JF kuwasaidia wengine kupata uelewa ktk masuala yahusuyo nchi yetu

magis

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
392
590
Hbr wapendwa,

Nitangulize shukran zangu za dhati kwa watu mbalimbali wanaochangia humu Jf.
Nikubaliane na mawazo ya kila mchangiaji kwa mada mbalimbali zinatokea humu Jf
Rai yangu ni tuitumue Jf kuwa muwasilishaji wa mawazo ya umma,tuitumie Jf kuwasaidia wengine kupata uwelewa ktk masuala yahusuyo nchi yetu.

Tujitahidi ktk Kuweka mada za kuelimimisha,wachangiaji kwenye weledi na mada ili kuzitendea haki mada zenyewe na wafuatiliaji wa mjadala.

Uchangiaji mzuri utakuwa ni wenye tija na manufaa kwa watu na nchi.
Leo tumeshuhudia mjadala mkubwa wa Road lisense kama ni kigezo cha ubora wa bajeti,tunasahau hicho ni kipengele kimoja tu ktk bajeti.

Hatujausaidia serikali yetu kwa kuishauri serikali yetu kuwekeza ktk uzalishaji bidhaa kwa kuwekeza ktk sekta zalishi za kilimo na Ardhi.

Serikali ingewezesha kwanza wizara ya ardhi kuwapimia wananchi ardhi zao ili kuwawezesha kupata mikopo kwa dhamana ya hati.Lkn kwa kutambua wamiliki,serikali ingeongeza wigo wa upatikanaji wa mapato yake kwa uhakika.

Sekta ya kilimo ingewekewa miundo mbinu ya uzalishaji,ubora wa mazao na uhifadhi wake ili kuingia ktk soko la dunia.

Viwanda vya mazao vingepiganiwa ili kukuza uhifadhi na uhitaji unaozingatia ubora na hii ingeajiri watu wengi na hivyo athari za ukuwaji kiuchumi kwa watu wengi ingeonekana na hatimaye watu wengi wangejielekeza huko na kuzalisha ajira na ulipaji wa kodi.

Nawasilisha
 
Hbr wapendwa

Nchi hii ni mali ya mtu mmoja! Hapangiwi. We do not have to waste time, let us joke here on JF!
 
Hapana bro,kukata tamaa ni moja ya njia zisizofaa kutatua yanayotuzunguka.
 
Back
Top Bottom