Tuanzishe Operation Zinduka Moto uwake mpaka vijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuanzishe Operation Zinduka Moto uwake mpaka vijijini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mrimi, Nov 15, 2011.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wanajamii siku zote ukombozi unaanza na watu wachache wenye nia thabiti. Si kawaida umma wote kuamka mara moja na kudai ukombozi.
  Nimefikiria hili vuguvugu la ukombozi linaloanza taratibu linaweza likazimwa kirahisi tu endapo watawala wataamua kutumia kale kautaratibu kao ka siku zote kapropaganda. Sote tunajua silaha yao ni kutugawa kisha wanatutawala.

  Tukumbuke sisi ambao tuna access ya information tuko wachache sana, wengi wetu tupo mijini. Lkn watanzania wengi wapo vijijini. Ukifanya utafiti wa uelewa wa watu hawa juu ya katiba hawana.Sasa mimi naona hali hiyo ni silaha tosha ya watawala ktk kushinda vita hii. Wakati umefika sasa lianzishwe vuguvugu litakalopenya hadi vijijini ili watu wetu wafahau haki zao na nafasi yao katika kuzipigania. Sote tunajua watu wanavyoteseka huko, wanahitaji ukombozi.

  Kitu ninachoona hapa ni kwamba watawala watatema sumu yao ya propaganda kwa kusema vuguvugu hili ni uvunjaji wa amani kama ambavyo wamekuwa wakidhihaki maandano siku zote. Watawarubuni baadhi ya wanaharakati wenye njaa, wengine watakamatwa na hata wengine watauawa. Hii ikitokea wengine watavunjika moyo na ku give up. Watawala watakuwa wameshinda vita hii nasi tutabaki kuwa watu dhalili miaka yote.

  Kimsingi tunahitaji watu wa vijijini. Hii ndiyo silaha pekee waliyobakinayo watawala hawa, sote tunaona Arusha, Mbeya, Mwanza, Moshi Kigoma,Dar.nk. zinavyowahangaisha, sasa tunatakiwa kuzama ndani kwenye mizizi. Kiukweli tusipopata support ya wanavijiji, mi naona bado vita hii kuishida ni vigumu.

  Nawasilisha....
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  jenga taifa hacha uchochezi
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hata kwetu wapo kama wewe wengi tu.
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Na wanawaza kwa kutumia matumbo na makalio yao
   
 5. h

  hajoma Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  akili zako hazina akili...
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapa umefikiria kwa akili zako zote ndio ukaibuka na huu upupu?
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Eee Mola, msamehe huyu mja wako kwani hajui alitendalo humu JF.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Noja nikupotezee tu...sioni cha maana hapa!
   
 9. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pamba*************fu umevimbewa amani iliopo umeeanza kuja*********mba unaamini mabadiko ni kwa vurugu jaribu kufiikiri njia mbadala ya kuleta mageuzi
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Soma vizuri thread uone kama inahamasisha vurugu mkuu.
  Hoja hapa ni kuhakikisha elimu ya uraia inapenya hadi vijijini ili watu wote waelewe na kwa kufanya hivyo wajitambue wao kwa nafasi yao wanachangia vipi ktka kuleta mabadiliko ktk maisha yao nataifa kwa ujumla.

  Kwa kuanzia tuanze na hili la katiba, najua unafahamu watanzania walio wengi, tena si vijijini tu, hawajui lolote kuhusiana najambo hili. Sasa kosa lipo wapi hapo. Na ni mbinu hii imekuwa ikitumiwa kutisha watu wasidai haki zao kwa kuambiwa kuwa wanaleta fujo.

  Nilijua hii thread itawatibua wengi kwani inaweka wazi silaha pekee ambayo watawala wamebaki nayo.

  Pole sana kwa wale niliowagusa.
   
 11. K-killer

  K-killer Senior Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe umefikiria mbali sana nakuma 100 ya 100...ulivyosema vuruvurur ianzishwe huko watu wameelewa vibaya wamezani ni vurugu,lakini ujumbe wako ni kwamba elimu vijijini watu wapewe waelewe haki zao
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145


  Mkuu nimegusa mahali wanapotegemea wakubwa, wameshtuka wanatafuta jinsi ya kupindua hoja. Sio issue tutaendelea kuwaelimisha tu.
   
 13. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  elimu hii ianzie ndani mwako na kwajirani yako mpaka kwa bibi kijijini
   
 14. IME

  IME Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hivi ni nani anapaswa kuwaelimisha wananchi hasa wa vijijini. Maana hawakawii kusema wachochezi, wanavuruga amani mara intelligence....
   
 15. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,531
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo ndio tafsiri ya serikali ya CCM na vyombo vya dola visivyojua maana ya mamlaka yake. Kutoa elimu ya uraia kwao kunamaanisha kuchochea vurugu; yaani kutoa maneno ya uchochezi.
  Lissu alionekana mchochezi kule Kiteto kwa kutoa elimu ya uraia na sheria za misitu; na kuwa WANTED!!!
   
 16. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Si wanajua silaha pekee waliyobaki nayo ni uelewa mdogo wa watu juu ya haki zao, ndiyo maana wakiona elimu ya uraia ikitolewa, wanapata hofu.
  Lakini sasa tutaendelea kukaa kimya hadi lini.
   
 17. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii ni propaganda tu, wana take advantage ya ignorance ya watanzania walio wengi.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wazo zuri lakini linahitaji mkakati mzuri zaidi. There are a few question to be raised so that mpango usiwe wa vurugu bali kuelimisha umma... Pia ni bora kuweka agenda za wananchi na si zitakazowagawa zaidi watz

  ni vemawatu wajue tunayokosa na kwanini
   
Loading...