KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Yaaniw acha kabisa...halafu kuna The secretary anamkuwadia ngoja nimkamate.....
Nitakulindia swaiba.
Tena nimemuona Mr Rocky ameanza kupiga misele
Last edited by a moderator:
Yaaniw acha kabisa...halafu kuna The secretary anamkuwadia ngoja nimkamate.....
huyu Mr Rocky hana kosa tatizo ni The secretary anapiga upatu kama analipwa. jamani naomba tulishughulikie hili haraka iwezekanavyo
Umepinda wewe, muone kwanza
huyu Mr Rocky hana kosa tatizo ni The secretary anapiga upatu kama analipwa. jamani naomba tulishughulikie hili haraka iwezekanavyo
wewe The secretary umetumwa? nauliza hivi umetumwa?
Bishanga naonewa huku
tantalila tu inatosha kumtia binti mikononi...sisi wazee wa zamani ndio silaha yetu.
KOKUTONA sis wangu wa ukweli nambie,eti kuna mtu anamsarandia The secretary.....i want to know fasta