Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,349
- 62,581
Kwa nini hutaki kutembeza vitu, miguu umepewa ya nini?Hapo kazi ya kubagua ni kutembeza vitu, zote zilizobaki napiga mzee
Tatizo ndipo linapoanzia, vitu huwa vinaanzia chiniNataka kuwa meneja, nipewe gari dereva na nyumba, bila kusahau posho za bia weekend
Ubilionea unatokana na mauzo, ukiuza zaidi lazima uwe bilioneaIzo ulizoandika sijaona ya kunipa ubilionea
Ya kufanya kazi, na kutembea sio kutembezaKwa nini hutaki kutembeza vitu, miguu umepewa ya nini?
na mimi namshangaa bro Joanah anavyo bagua kazi kasema yeye ni msomi hawezi kushika jembe
Labda kuFanya risk missions, kutembeza karanga na ubuyu sio kweliUbilionea unatokana na mauzo, ukiuza zaidi lazima uwe bilionea
Amina.Asiyefanya kazi na asile
Njoo hapaTatizo ndipo linapoanzia, vitu huwa vinaanzia chini
Miguu kazi yake sio kubeba tumbo, kazi yake ni kutembeza vyombo, kahawa, nguo, redio , karanga n.kYa kufanya kazi, na kutembea sio kutembeza
Maisha ya tamthilia na ya mitandao yanachanganya vijanaWanataka kuamka asubuhi, kijana aambiwe aoshe gari huku yeye anajiandaa, avae shati yake safi na tai, cadet kali na "moka", akitoka nje anafunguliwa geti nak kwenda "ofisini".
Nimefanya kazi,kibarua, siku Moja na nusu sijapewa fedha na sijapata vipi hapo 🤔Asiyefanya kazi na asile
Na watoto wanaojifunza kutembea Huwa mnawabebesha mavitu yote hayoMiguu kazi yake sio kubeba tumbo, kazi yake ni kutembeza vyombo, kahawa, nguo, redio , karanga n.k