Tuambie uko wapi na unauza nini?

Attachments

  • IMG_5317-1.jpeg
    502.2 KB · Views: 7
  • 37268fee-df44-4157-9e2d-13e29bc3f3ef.jpg
    321.4 KB · Views: 5
  • ea9ef534-0090-46a6-8237-76857d1f54a7.jpg
    44.1 KB · Views: 9
Oukay Thanks . Tumekusoma kiongozi
Pamoja🀝🀝
 
W
azzo zuri,tutakuja kuwaungisha
 
Mie siuzi kitu bali ni graphic designer .na design label za bidhaa,poster,flyer,banner,logo pia ni fanya computer repair,trouble shooting and maintenance, pia ni digital content creator,blogger na youtuber katika masuala ya teknolojia pamoja na hayo taaluma yangu ni teknolojia ya habari (information technology).
 
Oukay sample ya kazi zako?,. Your Ig ?,. Youtube tuje kusubscribe na kufollow?
 
Weka sample ya kazi zako
 
Weka namba mkuu kama huna bei sana tutafanya kazi
 
Nauza friji na friza, nipo kariakoo pitieni uzi huu mnisapati wakuu

 
WowπŸ‘Œ ,. Utaratibu ukoje??
Mawasiliano??
PM Nitakujibu vyte ila ipo thread yangu inoelezea hili jambo
WowπŸ‘Œ ,. Utaratibu ukoje??
Mawasiliano??
 
Asante mkuu,.
 
Pitieni hapa wakuu mnunue friji na friza aina mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…