Tuambie ni ipi chorus bora zaidi ya wakati wote kwenye ulimwengu wa muziki?

Mirror Justin, Timberlake
Missing You, Case
Nampenda nani Mike T
Run this Town, Jay Z
Dear Mama, Tupac
Hakuna jina jingine, AIC Makongoro
Natural Mystic, Bob
 
B. O. B micharazo- kazi kwanza
Chrux imepigwa na beka, asee ni hatar
 


Hujuwi muziki bado. Chorus bora zaidi ni ile ya Karubandika ya Maquis Original wana Zembwela na Ndugu Kassim, Pt. I ya Sikinde.
 
"Sina mashaka na kesho ! Aliyenivusha jana kanifikisha leo atanifikisha kesho".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…