Tuambie ni ipi chorus bora zaidi ya wakati wote kwenye ulimwengu wa muziki?

Mirror Justin, Timberlake
Missing You, Case
Nampenda nani Mike T
Run this Town, Jay Z
Dear Mama, Tupac
Hakuna jina jingine, AIC Makongoro
Natural Mystic, Bob
 
B. O. B micharazo- kazi kwanza
Chrux imepigwa na beka, asee ni hatar
 
Kwangu mimi kiitikio “chorus” bora zaidi ya muda wote ni chorus aliyofanya Rihanna kwenye ngoma ya TI ya “Live your Life


Chorus hii ya LIVE YOUR LIFE kwangu ndo bora zaidi na sijawahi ona tena nyingine

Rihanna aliichonga chorus ile utadhani kaandikiwa na malaika

Tuwekee ya kwako


Mayala B


Hujuwi muziki bado. Chorus bora zaidi ni ile ya Karubandika ya Maquis Original wana Zembwela na Ndugu Kassim, Pt. I ya Sikinde.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom