witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,769
Hapana ni kilevi
Sasa humu si tunataja misosi shehe!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana ni kilevi
a e i o u
hata kwenye picha huwa naangalia na nahisi ni mtamu sana
Kilev kilichochanganyika na msos ... Ni chakula ghali ... Sijakila na miaka minneSasa humu si tunataja misosi shehe!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huuhuuu....aseehata kwenye picha huwa naangalia na nahisi ni mtamu sana
u see what??
Hahaha... mbona mate hukuchuruzika napokuleteaga biriani na kuku...