Tuambie interview mbaya uliyowahi kuifanya

Tuambie interview mbaya uliyowahi kuifanya

Niliitwa kwenye interview ambayo niliingia kwenye oral nikauliza watumie lugha ya Kiswahili au English, Bwana weeeee, c nikataka sifa, nikasema English . nikaanza kujibu maswali yao kufika kwa Design Engineer lugha ilikuwa haipandi vizuri ( yani engineer alikuwa anaongea english ya hovyo mno ) .

Ujinga niliofanya ulinigalimu mpaka leo cjaitwa kwenye kazi.. Aisee nilikuwa nacheka jinsi design engineer alivyokuwa ananiuliza swali .. Iyo kitu sitoisahau aisee
 
Mimi sikuchemsha oral, nilichemsha practical. Miaka ile namaliza six Kama mwezi mshkaji wangu mmoja akaniambia Kuna kazi pahala huna hata haja yabkupeleka barua Wala CV. Akanielekeza nikaenda maeneo ya kijitonyama.

Kufika nikawakuta jamaa wapo smart wadada na wakaka wananyonga Tai. Nikasema yah hapa patanifaa. Nikajiyambulisha na kuwaeleza shida yangu. Wakaniambia nenda kwa HR chumba flani, nikamkuta mdada hr yupo na mkurugenzi wa kampuni. Wapo smart hatari...
Ulichezea bahat[emoji16][emoji16] walikuwa ni usalama wa taifa[emoji28][emoji28]
 
Miaka kama 7 iliyopita niliitwa kwenye usaili kwenye International Organization moja yenye ofisi hapa nchini, hawa wako chini ya UN..Tulikuwa watatu kwenye nafasi yetu na walihitajika watu wawili tu. mimi nilikuwa wa mwisho kabisa kuingia kwenye chumba cha usaili lakini kila mtu aliekuwa anatoka kwenye room ya usaili alikuwa na sura ya upole sana. Ikafika zamu yangu maana ndiye nilikuwa wa mwisho...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwamba umetisha hapo mwishoni
 
Niliitwa kwenye interview ambayo niliingia kwenye oral nikauliza watumie lugha ya Kiswahili au English, Bwana weeeee, c nikataka sifa, nikasema English . nikaanza kujibu maswali yao kufika kwa Design Engineer lugha ilikuwa haipandi vizuri ( yani engineer alikuwa anaongea english ya hovyo mno ) . Ujinga niliofanya ulinigalimu mpaka leo cjaitwa kwenye kazi.. Aisee nilikuwa nacheka jinsi design engineer alivyokuwa ananiuliza swali .. Iyo kitu sitoisahau aisee
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ya TRA juzi, nimechinjwa hatua ya kwanza tu written...Hizi mambo sikilizieni kwa wenzako tu yasikukute...na ukute umetokea huko kusini magharibi
 
Kuna interview moja sitoisahau aisee, Picha linaanza niliitwa nikiwa Arusha, nikaplan kukata tiketi lakini nikaahirisha jioni yake nikapiga mvinyo wa kutosha nimekuja kustuka saa nne asubuhi😀.

Nikawahi stand nikabahatisha gari moja linalotoka nairobi, Kwenye bus nilikua najidunga k vant tu mpaka nafika dsm saa nne😀, Nikafika nkakuta manzi angu alikua ananisubiri, nikamtia viwili afu nikalala. Kesho yake niliamka na hang over ya hatari ila nikasema ngoja nikaze nikaifanye tu.

Tumefika interview tulikua kama engineers 60. Tukapigwa pepa la I.Q kwanza, lile pepa lilikua gumu kishenzi aisee utafikiri wanataka kumuajiri newton. Nilifanya pepa kijinga sana yaan kuna muda hangover inaniambia achana na pepa tukanywe supu 😀, ila nikakaza mpaka nikamaliza. Out of 60 engineers tukatusua 17 tu. Tukaja oral, niliipiga fresh ofcourse japo wale jamaa viingereza vyao ni kama wamemeza pilipili.

Majibu yametoka nimepigwa knock out halafu kapita manzi mmoja ambae hata kwenye pepa la I.Q alikua wa mwisho. Kupeleleza nikaambiwa ashagawa uchi kwa moja ya watu wa kwenye panel. Nilimaindi kinyama aisee mpaka nikatamani wanirudishie nguvu ya akili zangu niliyotumia kufaulu pepa.

USHAURI: Ukiona umekaa panel na PISI ya maana hesabu umekata moto tu, unless otherwise ubahatike upate employers wanaojielewa.
 
I think TBS oral interview,,,dah nilianza vzur sana na introduction njaa na uchovu wa kusubir kuingia chumba cha interview na ile pannel ya watu nikajikuta napanick aicee nilijibu ovyo mpaka mama mmoja hv kwny pannel akanambia pambana baba maisha yako haya huku wengine wakicheka balaa nilivyotoka pale nikarudi mpole kwa mhindi kudadadeki[emoji28][emoji28][emoji28]

We jamaa dahh...nimecheka sana🤣🤣🤣
 
POLE SANA . Hakikisha unajiandaa vizuri kwa interview nyingine

Ya TRA juzi, nimechinjwa hatua ya kwanza tu written...Hizi mambo sikilizieni kwa wenzako tu yasikukute...na ukute umetokea huko kusini magharibi
 
Hata mimi nisingekuita.. Nyau wewe unakuja umelewa ?

Kuna interview moja sitoisahau aisee, Picha linaanza niliitwa nikiwa Arusha, nikaplan kukata tiketi lakini nikaahirisha jioni yake nikapiga mvinyo wa kutosha nimekuja kustuka saa nne asubuhi😀.

Nikawahi stand nikabahatisha gari moja linalotoka nairobi, Kwenye bus nilikua najidunga k vant tu mpaka nafika dsm saa nne😀, Nikafika nkakuta manzi angu alikua ananisubiri, nikamtia viwili afu nikalala. Kesho yake niliamka na hang over ya hatari ila nikasema ngoja nikaze nikaifanye tu.

Tumefika interview tulikua kama engineers 60. Tukapigwa pepa la I.Q kwanza, lile pepa lilikua gumu kishenzi aisee utafikiri wanataka kumuajiri newton. Nilifanya pepa kijinga sana yaan kuna muda hangover inaniambia achana na pepa tukanywe supu 😀, ila nikakaza mpaka nikamaliza. Out of 60 engineers tukatusua 17 tu. Tukaja oral, niliipiga fresh ofcourse japo wale jamaa viingereza vyao ni kama wamemeza pilipili.

Majibu yametoka nimepigwa knock out halafu kapita manzi mmoja ambae hata kwenye pepa la I.Q alikua wa mwisho. Kupeleleza nikaambiwa ashagawa uchi kwa moja ya watu wa kwenye panel. Nilimaindi kinyama aisee mpaka nikatamani wanirudishie nguvu ya akili zangu niliyotumia kufaulu pepa.

USHAURI: Ukiona umekaa panel na PISI ya maana hesabu umekata moto tu, unless otherwise ubahatike upate employers wanaojielewa.
 
Mkuu nakumbuka
Habari wana JF, katika harakati za kutafuta ajira unaweza kupata nafasi ya kufanya interview kwa ajili ya ajira, share nasi interview ambayo hutokaa huisahau katika maisha yako

Mimi yangu ilikuwa hivi, baada ya kumaliza elimu ya sekondari na kutofanikiwa kuendelea na masomo kwa muda nikaamua nijikite kutafuta ajira, nilifanikiwa kufanya interview 2 ambazo sitokaa nizisahau

Ya kwanza ilikuwa tigo customers service wenyewe wanaita PCCI, nilikuwa na wenge sijawahi kufanya hizo mambo niliwahi mapema kabisa nilivyofika kwenye kile chumba nikakutana na wale wanaohoji wa 3 nikasema hapa nikichomoka sijui, nikaulizwa kwanini unaitaka hii kazi nikajibu kwa kuzunguka weee mara maisha ya mtaani magumu mara sina hela walibaki wanacheka tu na ndo ikawa tamati yangu

Ya pili kuna bro alikuwa Engineer alinifanyia mpango kwenye kampuni flani hivi ya ujenzi walikuwa wanataka Storekeeper, nikajua nitakuwa pekee yangu kufika nakuta tupo 2 mimi na mdada kuna jamaa mfanyakazi akasema tulitegemea aje mmoja lakini kama mpo wawili sio mbaya tutafanya ka interview kadogo, akaanza yule mdada baadae nikafata mimi baada ya mahojiano madogo nikatoka nikaambiwa nisubirie nje then akatoka akanambia kusema ukweli mdogo wangu interview umefaulu lakini wewe bado mdogo sana muachie yule dada hii kazi anamajukumu nikamwambia bro mimi mwenyew naitaka hii kazi akaondoka nilichukia nikamfikishia ujumbe yule bro aliyenipa mchongo akasema huyo jamaa anapenda sana wanawake huenda aliona ampe yule
Habari wana JF, katika harakati za kutafuta ajira unaweza kupata nafasi ya kufanya interview kwa ajili ya ajira, share nasi interview ambayo hutokaa huisahau katika maisha yako

Mimi yangu ilikuwa hivi, baada ya kumaliza elimu ya sekondari na kutofanikiwa kuendelea na masomo kwa muda nikaamua nijikite kutafuta ajira, nilifanikiwa kufanya interview 2 ambazo sitokaa nizisahau

Ya kwanza ilikuwa tigo customers service wenyewe wanaita PCCI, nilikuwa na wenge sijawahi kufanya hizo mambo niliwahi mapema kabisa nilivyofika kwenye kile chumba nikakutana na wale wanaohoji wa 3 nikasema hapa nikichomoka sijui, nikaulizwa kwanini unaitaka hii kazi nikajibu kwa kuzunguka weee mara maisha ya mtaani magumu mara sina hela walibaki wanacheka tu na ndo ikawa tamati yangu

Ya pili kuna bro alikuwa Engineer alinifanyia mpango kwenye kampuni flani hivi ya ujenzi walikuwa wanataka Storekeeper, nikajua nitakuwa pekee yangu kufika nakuta tupo 2 mimi na mdada kuna jamaa mfanyakazi akasema tulitegemea aje mmoja lakini kama mpo wawili sio mbaya tutafanya ka interview kadogo, akaanza yule mdada baadae nikafata mimi baada ya mahojiano madogo nikatoka nikaambiwa nisubirie nje then akatoka akanambia kusema ukweli mdogo wangu interview umefaulu lakini wewe bado mdogo sana muachie yule dada hii kazi anamajukumu nikamwambia bro mimi mwenyew naitaka hii kazi akaondoka nilichukia nikamfikishia ujumbe yule bro aliyenipa mchongo akasema huyo jamaa anapenda sana wanawake huenda aliona ampe yule dada kwa kusudi flani.

Wewe yako unayoikumbuka ilikuaje?
Nakumbuka nilidanya interview mwaka 2014 pale Sugar Board of Tanzania Sukari House na baada ya kufanya ile interview mdau mmoja akanitafuta siku kadhaa baadae akaniambia hongera kwa kupata kazi nikawa nasubiri mkataba ila kwa bahari mbaya yule Boss DG wa pale aliyekuwepo mwaka huo aliporudi akampa ile kazi dada mmoja ambaye baba yake alikuwa member wa Bodi of Directors wa pale. Basi nikasubiri weeeeeeeeeee sikuona kitu ikawa ndio nitolee ila alhamdulilah Mungu alisikia kilio changu na siku sio nyingi JPM akamla kichwa DG. Roho ikatulia
dada kwa kusudi flani.

Wewe yako unayoikumbuka ilikuaje?
nilienda
 
ulivyopiga hiyo kozi ilikusaidia mkuu,unaweza kusikia na kufunguka ngeli kama ya CNN?au unaongea kawaida tu kama ngeli ya wasukuma?
Mkuu vpi kwa ada hyo walikupa na cheti chao....ama haukufanya ile mitihani yao (IELTS)?
 
Mkuu niliimprove sana, Barrick walikujaga kunikoma kwenye interview yao, ilibidi wanichukue tu

Hongera sana mkuu, najipanga japo kinge changu sio cha chini sana ila nahitaji kukiongezea[emoji81][emoji81]
 
I think TBS oral interview,,,dah nilianza vzur sana na introduction njaa na uchovu wa kusubir kuingia chumba cha interview na ile pannel ya watu nikajikuta napanick aicee nilijibu ovyo mpaka mama mmoja hv kwny pannel akanambia pambana baba maisha yako haya huku wengine wakicheka balaa nilivyotoka pale nikarudi mpole kwa mhindi kudadadeki[emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] apo kwenye kurudi kwa mhindi
 
Back
Top Bottom