Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
1. pesa
2. pesa
3. pesa
4. pesa
wakati dunia nzima wamelala, huku wakati ndio sasa na St. Paka Mweusi wakitafuta kila njia ya kubomoa ukuta bila mafanikio, mimi natafuta pesa ili mtoto wetu aishi kifahari. au sio charminglady
1. Pesa 2. Bia 3. K.
Mmmh...hiyo namba 3..dah!!1. Kula
2. Kulala
3. Kulalana..
Mimi basic need yangu ni kama ifuatavyowewe je?
- -2 = fedha
- -1 = Yatima
- 0 = God
- 1 = charminglady
- 2 = Jf
- 3 = St. Paka Mweusi
Taito ya sredi yako inafukuza wengi. Neno "YANGA" badala ya "YANGU" limewafukuza wengi. Fanya editing ili watu wenye akili zao waichangie hii sredi.