Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Ndo hivyo kiongozi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee eti simu ndio inageuka kua protector ya hyo liquid protector
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale yale ya OKO, tairi ikipata pancha, inaziba yenyewe.Huku kwetu tunaweka hiyo kitu na baada ya kumaliza simu inagongwa gongwa na jiwe na haipasuki!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukikutana na wauza mikanda ya suruali wanakuambia pure leather wana namna wanaukunja na kuuma ukinunua ndio utajua umeliwa. Hata hao wanagonga ki aina waambia wakupe simu yao ugonge weweMkuu nakwambia mimi wameniwekea na baada ya kumaliza anaigonga gonga simu kwa jiwe!
Na anasema ikipasuka analipa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mzee wa mambo ya giza na wewe umenaswa kwenye mtego wa watoto kutumia "hixi" badala ya "hizi"Kila kitu ni UTUNZAJI... Simu ni very delicate gadget.. Unatakiwa kui handle with extra care... Hixi mambo za protector ni biashara tuu... Msaada wake hauzidi 50%
Jr[emoji769]
Mkuu mzee wa mambo ya giza na wewe umenaswa kwenye mtego wa watoto kutumia "hixi" badala ya "hizi"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka jamaa mmoja alikuja ofisin anawekea watu mm nikavizia watu wachache nikaenda. Nilimpiga maswali kweli kuhusu hiyo liquid protector. Nakumbuka mwishon alisema... kama ni scratch kweli haiwezi kutokea ila kwenye kudondoka kuzuia kioo kisipasuke siwezi kukuhakikishia hilo maana simi ikidondoka inaweza ikapasuka kioo au isipasuke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duu hapana kabisa.. Labda ni haka ka chick pembeni yangu kananikosesha[emoji23]
Jr[emoji769]
Mkuu akiweka video unitag kesho na mimi niweke hiyo ya likwidi.Sijakataa. Ninakuamini kabisa ila nataka nikuamini kabisa kabisa. Chukua jiwe, weka simu yako yenye glass protector urekodi ukiwa unaigonga halafu tuwekee video hapa. Nitafurahi sana nikiona hivyo, lakini kama ni maneno hata mimi naweza kuandika tena vizuri sana.
Ndio hapo sasa. Tunalaumu vitu ambavyo usipotunza vizuri hata uweke protector ya chuma mwisho wa siku itaharibika. Kuna uzi humu unasema kuwepo hizo protector na cover ni umaskini. Maana yake ati raha simu kila toleo uwe nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata shoka lenyewe linakwisha....
Ni sawa na kuweka security camera. Hiyo security camera inakamata mwizi?Kila kitu ni UTUNZAJI... Simu ni very delicate gadget.. Unatakiwa kui handle with extra care... Hizi mambo za protector ni biashara tuu... Msaada wake hauzidi 50%
Jr[emoji769]
Jiwe la Plastick labda
Juzi napita town nikaskia glass protector kwa buku jero nikabandua na kuweka mpya kabisa asante liquid protectorUkifatilia hii liquid protector imeua sn soko la glass protector hivyo kwa kawaida n lazima ipingwe sn maana kuna watu wamepoteza hata ajira. Lakini ukweli n kwamba n muhimu watu wabadilike kuendana na technolojia iliyopo maana hakuna jinsi.
Kuhusu uimara n kwamba ipo vzr tu kutokana na utunzaji wa mtu mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app