Weka ushahidi. A video mostly. Anecdotes are not facts. Bring us facts! Kama ni maneno kila mtu anaweza kuandika, chief.Huku kwetu tunaweka hiyo kitu na baada ya kumaliza simu inagongwa gongwa na jiwe na haipasuki!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu simu ikigongwa na jiwe haipasuki!!It is obvious. Sad that you believed them. Hiyo kitu sanasana inaweza kuzua scratches tu za hapa na pale ila simu ikidondoka ni lazima kioo kivunjike tu
Mkuu nakwambia mimi wameniwekea na baada ya kumaliza anaigonga gonga simu kwa jiwe!Weka ushahidi. A video mostly. Anecdotes are not facts. Bring us facts! Kama ni maneno kila mtu anaweza kuandika, chief.
Sijakataa. Ninakuamini kabisa ila nataka nikuamini kabisa kabisa. Chukua jiwe, weka simu yako yenye glass protector urekodi ukiwa unaigonga halafu tuwekee video hapa. Nitafurahi sana nikiona hivyo, lakini kama ni maneno hata mimi naweza kuandika tena vizuri sana.Mkuu nakwambia mimi wameniwekea na baada ya kumaliza anaigonga gonga simu kwa jiwe!
Na anasema ikipasuka analipa!
Sent using Jamii Forums mobile app
sumu haionjwiSijakataa. Ninakuamini kabisa ila nataka nikuamini kabisa kabisa. Chukua jiwe, weka simu yako yenye glass protector urekodi ukiwa unaigonga halafu tuwekee video hapa. Nitafurahi sana nikiona hivyo, lakini kama ni maneno hata mimi naweza kuandika tena vizuri sana.
Haijagongwa kiasi cha kupasuka... kisemwacho hapa ni kuwa, zile za kawaida. ikidondoka, ile protector inachukua pressure yote na kupasuka yenyewe... hii liquid, ikifikia kupasuka, inapasuka na simu... INAWEZEKANA SIMU NDO INAGEUKA KUWA PROTECTOR YA HIYO LIQUID PRITECTOR..!!