Tuambiane ukweli:Jee umezindika biashara yako?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,564
Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao

Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo

Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi

Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita

Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
 
Sisi waafrica utaratibu ni huo...sio biashara tu hadi nyumba hadi watoto wanafanyiwa zindiko ni mila na desturi za enzi na enzi..

(hakuna familia yyte ya kiafrica ambayo aijapitia huko ni hizi dini za wazungu na waarabu ndio wanatubadilisha sasa)

Ingawa haigurantee kuwa utafanikiwa kwenye biashara yako bado maarifa ya biashara yananafsi kubwa kama huna hayo ni swala la muda tu unafirisika na kusingizia wachawi.
 
Ni imani potofu, na kwakua bongo wajinga hawaishi basi tawire wanapiga mpunga kama kawa
Sio imani potofu ni aina tu ya mtindo wa maisha kama vile unavyoamini kwenye dua au kusali basi wapo pia wanaoamini kwenye desturi hizi na ndio za muda mrefu sana huku ukanda wetu.
 
Kuna wakati nilikabidhiwa sehemu yangu ya biashara baada ya mpangaji kufilisika

Nikaamua kufungua mwenyewe
Nilimtuma kijana afanye usafi kote, kumbe kulikuwa na mgogoro baina ya mke na mme na wakaamua kuondoa vitu kwa hasira

Kijana kanipigia simu anasema njoo uone haya mambo
Kulikuwa na vitu vya ajabu naona walikuwa sijui wanarogana wao kwa wao au ni mambo ya biashara

Dogo aliogopa kuvigusa nikampa ujasiri na kuvitoa vyote kwa mkono

Nikaviweka nje nikamwambia haya piga kiberiti yote
Nilifungua biashara yangu bila ushenzi huo na nikajaaliwa kuiendeleza

Kama ukiona watu wanapanda haraka haraka kwenye biashara wengi wao ni majizi wanaoshirikiana na wafanyakazi wa wholesalers
 
Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao

Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo

Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi

Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita

Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Huo ni ushamba,na upungufu wa matumizi ya akili,mchawi wa biashara yako ni wewe mwenyewe,unamhudumia mteja wako kwa nyudo na jeuri,au ukiwa mlevi,au kwa lugha chafu,au kwa kuto mjali halafu unaenda kwa mganga biashara ngumu 🤔.Utakuwa mwehu wewe 😂
 
Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao

Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo

Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi

Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita

Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
imani ni kuwa na uhakika, jina la Yesu ni nguvu itendayo muujiza omba lolote kupitia jina hili utapata amani na ulinzi
 
Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao

Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo

Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi

Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita

Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Hapana binafsi nna biashara mbili wako vijana na wadogo zangu na hakunaa ht 1 niliozindika
Biashara iko kawaidaa inakwenda
 
Sio imani potofu ni aina tu ya mtindo wa maisha kama vile unavyoamini kwenye dua au kusali basi wapo pia wanaoamini kwenye desturi hizi na ndio za muda mrefu sana huku ukanda wetu.
Sawa mkuu, umenipanua akili
 
Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao

Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo

Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi

Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita

Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Wewe ni mshirikina, huna lolote zaidi ya uchawi
 
Sijazindika na sitazindika ingawa nilipoanza biashara yangu watu walinifuata kunishauri nizindike kwasababu chuma ulete lile eneo ni wengi. Sikufanya hivyo na biashara yangu inaendelea kukua na haijatokea siku imepotea hela kimiujiza kwenye biashara yangu.
 
Back
Top Bottom